Mwache abebwe kama rahisi bebwa na weweKuna harufu ya kubebwa, nafikili yale majungu anayopigwa joh makini yangemfaa sana huyu kibakuli maana sioni anachokifanya cha kumfanya apewe tuzo. Dated wack song!!!
Hii ni Aje remix, ile tuzo ya mwaka jana ilikuwa Aje ile ya kwanza. UmeelewaAisee huyo Aje inashinda tuzo Mara ya pili??
Wimbo unaishi ndo maana yaani haupotez radha yakeAje bado inachukua tuzo Duh...
Bonge la factUpande ule hawanaga izo mambo za kulalamikia hujuma labda ingetokea upande huu tungeshasikia tyar
Wasikudanganye, baby one day... Ni msanii WA clouds media...... Wazee wa Promo japo anajuaNandy ndio msanii gani tena?
Kweli nimekuwa mhenga, yaan msanii anaanza kuimba hadi akachukua tuzo ila mie sjawah sikia wimbo wake duh!
Hupo peke yako. Na sie tumoNandy ndio msanii gani tena?
Kweli nimekuwa mhenga, yaan msanii anaanza kuimba hadi akachukua tuzo ila mie sjawah sikia wimbo wake duh!
Nahisi upande ule kwao tunzo ishakuw jambo la kawaida sana.....uku bado hawajzoea.....but all in all hongereni maana siyo kwa kukesha kule.......ingekuwa kapata tunzo tatu kama domo mwaka ingependeza zaidi.Aiseee
huu upande umepoa sana kama ujachukua tuzo
Aseee ingekua mtaa wa pili kule hapa mjini pasingekalika
Domo amepata ngapi?Nahisi upande ule kwao tunzo ishakuw jambo la kawaida sana.....uku bado hawajzoea.....but all in all hongereni maana siyo kwa kukesha kule.......ingekuwa kapata tunzo tatu kama domo mwaka ingependeza zaidi.