Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Eneo Bora la Utalii Afrika (Tanzania)
Bodi Bora ya Utalli Afrika (TTB),
Hifadhi Bora ya Afrika (Serengeti),
Kivutio Bora cha Utalii Afrika (Mlima Kilimanjaro).
Tuzo hizi zimetolewa jijini Nairobi nchini Kenya, huku Serengeti ikiendelea kuwa Hifadhi Bora ya Afrika kwa miaka sita mfululizo (2019, 2020, 2021, 2022, 2023, na 2024), pia Bodi ya Utalii Tanzania imekuwa Bora Afrika kwa miaka mitatu mfululizo (2022, 2023, na 2024).
Aidha, Tuzo za World Travel zilianzishwa mwaka 1993 kwa lengo la kutambua, kutunza, na kusherehekea ubora katika sekta.