Tanzania yashuka hadi nafasi ya 139 katika viwango vya fifa

Tanzania yashuka hadi nafasi ya 139 katika viwango vya fifa

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Paulsen anaendea kupata changamoto baada ya timu yake kushuka hadi nafasi y 139 ukilinganisha na kpindi cha Maximo ambapo timu ilikuwa nafasi ya 98. mi ndo maana hadi leo namkubali maximo kwa mipango yake endelevu ukilinganisha na huyu Paulsen. na jinsi mambo yanavyo enda hamna dalili ya kupanda katika viwango vya fifa.je tufanyeje ili kuboresha mpira wa tanzania? wapi tunakosea? over
 
acha ishuke tena ingekuwa ya mwisho ningefurahi zaidi
 
sisi mpira hatuuwezi kabisa hata akija 'fergie' ni bora kuwa kama wahindi
 
tumrudshe maximo alkuwa hana macheko na mtu yule mzee.
 
Back
Top Bottom