joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Huu mtanange utaishia wapi, je ndio mwanzo wa kusambaratika kwa EAC?, kama vipi tulivunje hili "JAHAZI" ili tugawane mbao kila nchi itokomee kusiko julikana, ama namna gani wajameni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya na Rwanda, ndio wanaoirudisha nyuma EAC, itakua ngumu kuingia kwenye federation, kutumia sarafu moja na free visa, kwa huu unafki na kujipendekeza, mbona wajiamini hawa watu
Soma comments hapo chini ya hiyo video, ndio utajua thamani ya nchi yenu duniani ilivyo.Sarafu hata ikiwepo lkn hela yetu itabakia pale pale...
Tumeshawagundua..mnataka kuzitupa hela zenu za madafu manke mmejaribu kila kitu lkn thamani yake inazidi kupungua
USarafu hata ikiwepo lkn hela yetu itabakia pale pale...
Tumeshawagundua..mnataka kuzitupa hela zenu za madafu manke mmejaribu kila kitu lkn thamani yake inazidi kupungua
Sarafu hata ikiwepo lkn hela yetu itabakia pale pale...
Tumeshawagundua..mnataka kuzitupa hela zenu za madafu manke mmejaribu kila kitu lkn thamani yake inazidi kupungua
Wakenya hawampendi mtu anaewaambia ukweli 😂😂😂 Ukiwaambia ukweli wanakuona una chuki 😂😂😂In reality wakenya ni ldc like tz, but kwenye makaratasi ndo mmetuzidi, mnashoboka na viherehere kwa wazungu hovyo hvyo ili muwe juu yetu ahahaha, naomba uskilize huyo dokta mkenya mwenzio mwenye akili. Atleast ataondoa hko kinyesi kwe ubongo wako.
In reality wakenya ni ldc like tz, but kwenye makaratasi ndo mmetuzidi, mnashoboka na viherehere kwa wazungu hovyo hvyo ili muwe juu yetu ahahaha, naomba uskilize huyo dokta mkenya mwenzio mwenye akili. Atleast ataondoa hko kinyesi kwe ubongo wako.
Kwa wale wakenya wanaojisifu oo sisi ni middle income sijui Tanzania ni ldc, sijui hvi na vile, mskilizeni vizur dr mumbi kaelezea vizur hilo swala kuwa wakenya mnakiherehere kwenye kila kitu just bcoz mnataka title ya kuwa middle sh*t wakati there us alot to do to reach that level, hapo ndo nimeamin kuwa kenya ni ldc but hyo title yao wameshikilia tu coz ya kiherehere cha wazungu, msikilizeni huyo mama jamn kawapga madongo wakenya wenzie kama akina NICXIE na shiga ake MK254. Thats not me, i beg you plz msikilizeni atawafumbua mimacho yenu na miubongo yenu ilojaa kinyesi
Kila nchi itabaki na sarafu yake, je sarafu ya yenu utakua na nguvu dhidi ya EAC, mtabadilisha mipakani mje kununua chakula msife na utapiamlo
U
Soma comments hapo chini ya hiyo video, ndio utajua thamani ya nchi yenu duniani ilivyo.
What's wrong with a sister finessing her viewers? The very fact that she's woke and informs others about Africa, trumps everything.Mumbi walai kawaingiza mkenge...mwnyewe ana Vlog yake, na km ni views keshazipata...
Nynyi msizinduke...enedeleeni kunga na wale kupinga hadi yesu arudi...manake mida mingine unakuta mtu anaunga ujinga kabisa hku naye yule anapinga kitu ambacho kina manufaa katika jamii...
WATANZANIA AMKENI
What's wrong with a sister finessing her viewers? The very fact that she's woke and informs others about Africa, trumps everything.