#COVID19 Tanzania yasitisha matamasha, sherehe na mikusanyiko kukabiliana na maambukizi ya UVIKO

#COVID19 Tanzania yasitisha matamasha, sherehe na mikusanyiko kukabiliana na maambukizi ya UVIKO

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
Serikali ya Tanzania imesitisha rasmi matamasha, sherehe na mikusanyiko na masharti kwa watakaolazimika kuwa na kibali maalumu kutoka kamati maalum ya Mkoa husika.

7748D89F-4371-4DED-825D-FF052DB0A052.jpeg
 
Kigoma Leo kuna watu zaidi ya elf20 na wote wana tiketi za kuingia uwanjani wakati uwanja una uwezo wa kubebe watu elf 12

Na wengine bado wanataka kuingia kwa njia za mkato

Nchi haina viongozi, ccm haihawahi kuwa serious kwa lolote
 
Tahadhari hazichukuliwi kikweli ni hadaa tu za kutaka kupewa ile pesa ya IMF US$ 574 milioni kwani serikali iko taabani kifedha.
 
Kigoma wamerudi makwao kwani?
Wakirudi hao tujiandae na mazishi ya hapa na pale
Serikali mmechelewa sana
 
Wasitishe mwenge sasa! Hapa Namtumbo sioni dalili haka kasoko kamejaa na watu wanachapana balaa usiku, juzi nilikuwa mpakani mwa Zambia na Tz ayayayayay pale hapana aisee!
 
Back
Top Bottom