Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi kumi bora Afrika kwa uwekezaji. Tarajieni mafuriko ya wawekezaji

Mbona bai ya building materials inapanda sana kila kukicha? Prices are not stable; tuwe makini tusije kutengeneza inflation
 
Hii ndiyo Tanzania tuitakayo. Mazingira mazuri ya uwekezaji wa kweli na wa kiungwana. Uwazi katika miradi yote bila ujanjaujanja tutasonga mbele na kuleta maendeleo ya kweli
 
Itatoka Mwakani, Kazi iendelee
 
Habari njema
 
Kuwekeza nchi ambayo haina demokrasia ni Risk nanutawala wa sheria. Labda wachina ndo watajaa.

Kabla ya mwekezaji kuja anaangalia mambo mengi sana.
 
Hii ndiyo Tanzania tuitakayo. Mazingira mazuri ya uwekezaji wa kweli na wa kiungwana. Uwazi katika miradi yote bila ujanjaujanja tutasonga mbele na kuleta maendeleo ya kweli
Tanzania ya sasa ni raha sana, Kazi iendelee
 
 
Kaziiendelee tunakwelewa mama yetu
 
Swali fikirishi je unaweza kuwekeza kwenye tatizo la nishati?
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
 
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…