Tanzania yatoka kapa tuzo za MOBO UK kulikuwa hakuna kipengere cha east africa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Usiku wa jana palikuwa na tuzo za dunia huko uingeleza london

Wasanii kutoka afrika walikuwa wanashindania tuzo mbili ambazo ni kipengere cha msanii bora wa afica na msanii wa kimataifa kutoka africa

Hapa kulikuwa hakuna kipengere cha msanii bora east africa au west africa

Tambua tanzania huwa tunashinda kwa kipengere cha east africa ambazo huwa anabeba dimond au kiba

Msanii bora wa africa ameshinda david obio DAVIDO

msanii wa kimataifa ameshinda ibraham adelej dad yooo WIZKID

Huku tanzania tukiangukia pua

Wito tanzania tujipange ipo siku nas tutawapiku wanaigeria

LONDON BABY
 
Kwani ni mala ngapi diamond kachukua tuzo kwenye category moja na davido na wizkid?
 
Sasa wanatokaje kapa wakati hakukua na kipengele cha east africa au ndo hauna shule mkuu?
 
Sasa wanatokaje kapa wakati hakukua na kipengele cha east africa au ndo hauna shule mkuu?
Kwani sisi tupo ulaya kusini?! Kama tupo Africa then kipengele cha kushindaniwa kilikuwepo.
 
Hapa kulikuwa hakuna kipengere cha msanii bora east africa au west africa

Tambua tanzania huwa tunashinda kwa kipengere cha east africa ambazo huwa anabeba dimond au kiba
Kwahiyo unataka kusema ile ya Mond ya MTV MAMA, kisha Mondi & Kiba zile za MTV EMA zilikuwa ni kipengele cha East Africa?!

Btw, unaposema Tanzania tumeangukia pua; kwani wasanii wetu walikuwa nominated kwenye categories zipi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…