Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Haya mapesa tunapokea toka uhuru lakini ni nadra sana kuona impact yake kwenye jamii.
Swala hapa ni uaminifu, matumizi sahihi ya fedha za misaada na uchaguzi sahihi wa miradi.Nipe mifano ya nchi zilizoendelea kwa kutegemea foreign aids nami nitakupa mifano ya nchi zilizodumazwa na dependency syndrome!
Swala hapa ni uaminifu, matumizi sahihi ya fedha za misaada na uchaguzi sahihi wa miradi.
Kuna nchi zilikua maskini ila walijikwamua kwa kuzingatia hayo hapo juu. I.e Malaysia.
Tanzania tumekuwa tegemezi wa misaada kwakua tunakosa mambo niliyoyataja hapo awali.Kupokea foreign aid is one thing na utegemezi wa foreign aid is quite another.
Ila mpunga ni kiduchu Sana..