nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,056
- 1,296
leta data mpya tuone ,Hizo ni zilipendwa data zina umri wa zile gari moshi zenu za makaa ya mawe mnaziita sgr on the raiways instead of being inside meseums.
South Africa has almost the same population as Tanzania...thats no excuse...Egypt has almost the same population as ethiopia but can you compare the poverty stricken Ethiopians with the Egyptians?Kila siku nawaelezeni msicheze na TAKWIMU. Jumla ni hatari! Unategemea nini kama unalinganisha nchi yenye watu wengi na watu wachache. Tanzania ina watu million 50
have you seen Nairobi South Station and MOmbasa West Station???? bado unasema SGR ni ya mambo zamani..Hizo ni zilipendwa data zina umri wa zile gari moshi zenu za makaa ya mawe mnaziita sgr on the raiways instead of being inside meseums.
Millioni 50 na millioni 22 wananjaa, maana takriban nusu ya Tanzania huishi kwa dola 2 kila siku!! Kenya Millioni 45, Millioni 10 kwa njaa hiyo ni 1/4 hivyo basi watu walioko kwenye umasikini Tanzania kiratio ni mara mbili ya KenyaKila siku nawaelezeni msicheze na TAKWIMU. Jumla ni hatari! Unategemea nini kama unalinganisha nchi yenye watu wengi na watu wachache. Tanzania ina watu million 50
ukiskia mtanzania akijitetea utadhani wako first world country ila bado maskini hohehahe hawana mbele wala nyumaMillioni 50 na millioni 22 wananjaa, maana takriban nusu ya Tanzania huishi kwa dola 2 kila siku!! Kenya Millioni 45, Millioni 10 kwa njaa hiyo ni 1/4 hivyo basi watu walioko kwenye umasikini Tanzania kiratio ni mara mbili ya Kenya
Kwani is this a surprise? Tz si huwa kuko hivi? Na ukiwasikia vile hao hubonga juu ya Kibera.....wananishangazanga sana hao wadhii.
Wikipidea?? You should know these NGOs give wrong info so that they can be funded. All for the dollar. That is why they inflate figures