Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta baada ya kauli ya Bunge la Ulaya (EU)

Vatican City

Deep inside Tanzania and Uganda, plans for EACOP cause Creation to mourn
The East Africa Crude Oil Pipeline would be the world’s longest heated oil pipeline. But the International Energy Agency IEA has already called for no new fossil-fuel projects. Activists, including Vanessa Nakate, recently visited Pope Francis and received his full support ahead of Laudato si’ Week.
 
Dunia imekaa ki lobbying, inawezekana Wakenya maana hayati aliwachezea mchezo awatosahau...

Mula Mula kazi kwake...
 
Hao jamaa huko kwao wamejaza majumba na barabara hata ardhi haionekani, alafu wanathubutu kuongelea uaribifu wa mazingira
Ndiyo maana wanatuonea huruma na sisi tusije haribu Mazingira yetu Kama wao walivyo haribu ya kwao, hadi leo wanajuta kwa kujaza Majumba na Mabarabara hadi wakitaka Mazingira Safi inabidi waje Africa kuvuta hewa Safi isiyochakachuliwa Kama hewa ya kwao!!!
 
Kama ni kutuonea huruma basi watoe ushauri tu na sio kulazimisha.
 
Hawa ndio waliopinga Bwawa la Nyerere na tunalijenga, hii nchi ni yetu ma tutaamua wenyewe nini kinatufaa. Wao wanajemga mabomba kila siku, hawaharibu mazingira huko kwao?
 
🙄🙄
Aiseeh Hawa jamaa Wana njaa isije kuwa wanataka kasababu ka Kuja kubeba gesi😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…