Mwaka 1987 CCM walimwalika Tab Lay na bendi yake ya Afrisa International kuja kutumbuiza.
Ilichukua Chama cha siasa kuileta Afrisa International!!!!
Sasa tupo karne ya 21.
Watu woote Huko wizarani mpaka Fat wameshindwa imebidi Rais kuingilia kati kumleta Kocha?!
Nilicheza Soccer mpaka nilipokuwa University hata hivyo siku hizi sifuatlii sana mambo ya soka ya Tanzania kwa sababu walisha niboa Mafisadi wa Soka mika zaidi ya 20 ilopita.
Tunaweza kujivunia matokeo ya kumleta huyu kocha, lakini sioni sababu ya kujivunia mtu liye mleta. KAzi ya kumleta Kocha si ya Rais wa nchi, hata huko Brazil ambako kila mtu ni mpenzi wa kabumbu kazi ya kumtafuta kocha anaye faa si ya Rais.
Watanzania tumepungukiwa kitu fulani kwenye kila aina ya utekelezaji, si bure.