Ibrahim Mgaza
New Member
- Jun 20, 2024
- 1
- 0
Ni Mara Kadhaa tumekuwa tukishuhudia jitihada za Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Katika kuhakikisha huduma bora kwa Wananchi wake kwa Kupitisha Bajeti ambayo kila mwaka inaongezeka kutokana na uchumi kupanda kutoka uchumi wa chini hadi uchumi wa Kati ambao huifanya inchi ya Tanzania, kuendelea Kuendesha baadhi ya miradi Muhimu ya Maendeleo nchi kama Miundombinu muhimu kama Vile Bara bara, Majengo ya kutolea huduma kama vile Afya, Elimu na Zingine zenye kufanana na Hizo.
Sasa nikirudi kwenye hoja ya Msingi yote hayo yamekua yakifanyika katika kuendeleza sekta Mbali mbali ila Chakushangaza bajeti imekua ikielemea upande mwingine na sio kwenye Sekta Muhimu Kama vile Eneo la Afya limekua likipitishiwa Bajeti ndogo Ambayo Kimsingi haikidhi Matakwa ya sekta hii Muhimu sana kwa Taifa lolote Duniani.
Hiyo basi kwa utangulizi huo kulingana na Changamoto Mbali mbali ambazo watu wanapitia hasa Maeneo ya vijijini ambako Ndio kuna uhaba sana wa vitendea kazi na miundombinu ya huduma ya afya Nchi Basi sasa,Katika kujenga Tanzania ambayo tunahitaji kuiona hapo baadae ni ile ambayo inamiundombinu bora Hasa ila ya Afya kwaajiri ya kuhakikisha Huduma za kiafya zinakua bora na njema kwa ustawi wa wananchi wa taifa hili la Tanzania.
Swala la Msingi la kufanya ni Kuhakikisha katika kipindi cha miaka mitano ijayo ili tuweze kufikia Tanzania ambayo Tunahitaji sisi sote kama Raia wa Taifa hili la Tanzania lenye utajiri wa madini na rasilimali Nyingi ambazo Zikitumika kama inavyotakiwa zitaleta tija katika Taifa hili.
Kwanza ni Kupitisha Bajeti ambayo itakua na kiwango ambacho kinaendana na idadi ya watu kwa lengo la Kuifanya miundombinu ya Afya hasa maeneo ya vijiji kuna jitihada nyingi sana zinafanyika lakini bado ni za chini sana jambo ambalo linaendelea kuifanya huduma kua mbovu hasa Maeneo ya vijijini ambako wako watu wao pata shida sana kupata huduma kutokana na uhaba wa vifaa tiba.
Pili Katika kipindi cha miaka mitano ijayo Tunapaswa kuhakikisha kila mwanchi anaweza kuwa na bima ya afya ambayo itawasaidia wananchi popote pale wanapo pata majanga basi iwe rahisi kupata huduma kwani wananchi wa Tanzania si wote wanaweza kumudu gharama za matibabu katika vituo vya afya na hospitali zote Hapa inchini.
Tatu Kuhakikisha kila Hospitali ya serikali na binafsi zinatoa huduma amabazo zinataendana na Mahitaji yaani wafanye kwa ufanisi kwa kutoa huduma ambazo zinatakiwa kuwafikia wananchi kwa kuzingatia mikataba yao na Leseni zao za kutoa huduma hasa kwenye Maeneo ya Huduma za kiafya.
Kwa kuzingatia hayo katika kipindi cha miaka mitano ijayo Tunaweza kua na Tanzania ambayo tunahitaji kwani tutakuwa na watu wenye afya na Siha Nzuri amabazo zitachichea Uzalishaji na Mapambano dhidi ya magonjwa ikiwa ni audui Mkubwa wa Tanzania kama Taifa

Upvote
1