Gambino X
Member
- Aug 20, 2014
- 75
- 104
Zaidi ya 70% ya WaTanzania wanaishi vijijini ambako kuna maeneo mengi yenye rutuba za kuwawezesha kulima hivyo kupelekea waTanzania wengi wa kipato cha chini na kati kujikita katika shughuli za kilimo kwenye maeneo/mashamba yao huko vijijini.
Kilimo kinalipa.
Ukiangalia kinatoa bidhaa inayotumika zaidi duniani ambayo ni chakula….Tanzania ni mojawapo ya Nchi inayolima mazao mengi ya chakula na biashara hivyo kuifanya kuwa fursa kwa raia wengi wa ndani na hata raia wa kigeni wamekuja Tanzania kuwekeza katika kilimo…..
Sekta ya kilimo ina mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Asilimia 90 ya ardhi ya Tanzania hulimwa na wakulima wadogo. Sekta inatoa ajira kwa asilimia zaidi ya 60 na huchangia asilimia zaidi ya 29 ya pato la Taifa.
Wakulima wadogo wadogo wengi ambao ndio wazalishaji wakubwa, mchango wa kilimo kwao katika maisha umekua finyu na sivyo kama wengi hutarajia hususani kibiashara hivyo kutosaidia katika kuwaongezea kipato wakulima hawa..... zaidi ya chakula tu.
Tunahitaji mafanikio ya kibiashara katika kundi ili la wakulima wadogo ambao ni wengi mno - Kuweza kupata pesa nyingi ili kuweza kukua na kujitegemea kwa wakulima na kutuingizia kipato zaidi na maendeleo chanya kama Taifa na kujenga maisha bora katika umma kwa ujumla.
TATIZO

Wakulima wengi hususani wakulima wadogo wadogo ulazimika kuuza mazao yao baada tu ya kuvuna kwa bei ya chini ili walahu waweze kupata pesa ya kujikimu katika maisha yao ya kila siku.
Kama wangeweza kusubiri kidogo kwa miezi kadhaa na kwenda kuuza katika mnada au pale bei inapopanda masokoni basi wakulima wengi wangeweza kunufaika na kujipatia kipato kikubwa sana ambapo kitawezesha kukuza kilimo chao na familia zao katika nyanja tofauti za kiuchumi na kuwa na wakulima endelevu.
Ukiacha uhitaji wao wa pesa ya kujikimu wakulima hawa pia hushindwa namna ya kuhifadhi mazao yao kwa muda mrefu kutokana na kukosa mifuko maalum na maeneo ambapo hupelekea mazao mengi kuharibika au kushambuliwa na wadudu hivyo basi inawalazimu kuyauza hata bei ikiwa chini ili walahu kuepusha kuharibika kwa mazao hayo.
NINI KIFANYIKE.

Utengenezwe mfuko maalum wa mikopo nafuu kwa wakulima hawa wadogo wadogo ambao utawasaidia kukuza mapato yao kwa zaidi ya asilimia 29 hivyo kuwapatia pesa za kutosha kukua kiuchumi….Mikopo hii inaweza ikawa inasimamiwa na ofisi za kata ili kuweza kuwafikia wanufaika moja kwa moja.
Kujengwa hifadhi (storage facilities) kulingana na mazao yanayopatikana katika kila ofisi za kata au kuwe na mpango maalum wa ugawaji wa mifuko (bags) maalum na salama za kuhifadhia mazao kwa ajili ya utunzaji wa uhakika.
MWISHO
Kutokana na tafiti zilizofanyika; Kuwasaidia wakulima kwa mikopo nafuu na maeneo au mifuko maalum ya kuhifadhia mazao yao yanasaidia kuwaongezea kipato kwa 40%.
Upvote
2