ZionTZ JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,283 Reaction score 541 Jun 13, 2017 #1 Nchi yetu imejaliwa vipaji vingi mno sema vinapotea kutokana na kutokua na mikakati iliyothabiti, tizama mwenyewe af angalia mazingira ya hichi kipaji.
Nchi yetu imejaliwa vipaji vingi mno sema vinapotea kutokana na kutokua na mikakati iliyothabiti, tizama mwenyewe af angalia mazingira ya hichi kipaji.
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,093 Reaction score 7,229 Jun 13, 2017 #2 Hiki kipaji kinawakilisha vipaji vingi vilivyo chini ya kapeti hapa bongo. Aisee samatta toka Mbagala mpaka Ulaya. Big up sana kwa kutumia fursa.
Hiki kipaji kinawakilisha vipaji vingi vilivyo chini ya kapeti hapa bongo. Aisee samatta toka Mbagala mpaka Ulaya. Big up sana kwa kutumia fursa.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jun 13, 2017 #3 Tuko bongo bahati mbaya
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,858 Reaction score 23,768 Jun 13, 2017 #4 Mbona sio bongo hapo Mkuu..