Tanzania yote wakatiwa umeme kwa masaa matatu kisa mitambo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nchi yote ya Tanzania yakumbwa na kiza baada ya umeme kukatika kisa matatizo ya mitambo, hii ni kwa mujibu wa taarifa za gazeti la Citizen. Afrika banaaa
----------------------------------------

Tanzania's national power grid on Thursday September 27, 2018 collapsed and caused power blackout for over 3 hours in regions connected to the national grid.
The country's Electric Supply Company Limited (Tanesco) said on Thursday that the interruption was due to technical faults, which occurred at around 1:42 pm.
The statement, released by Tanesco’s Communications Unit said that the company’s technicians were working hard to restore the power to the affected regions.
However, it was not disclosed exactly when the power interruption would be resolved.
Tanzania’s power grid collapses, causes over 3 hour blackout
 
Kuna mtu kakulisha Matango pori wewe jirani mwenye husda na wivu. Leo sijaona hata nukta umeme kukatika hapa Dar es Salaam.
Kama kuna eneo umeme ulio kwenye grid ya Taifa ulipata hitilafu ukakatika,haiwezi kuchukuliwa kuwa nchi nzima,huo ni uzandiki!
 
Mwanza ulikata around saa 7 mchana umerudi saa 11 jion
 
hii bila shaka ni tanzania ya kariobangi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli kuna mikoa umeme ulikatika lakini si kwa muda uliotajwa hapo juu.
 
Sasa wewe unathibitisha ni kilaza tu,Kichwa cha habari nchi nzima,habari yenye haina hicho kitu,kumbe hata kunyaland kiingereza kilikuja na madeni ya mchina.
 
Sasa wewe unathibitisha ni kilaza tu,Kichwa cha habari nchi nzima,habari yenye haina hicho kitu,kumbe hata kunyaland kiingereza kilikuja na madeni ya mchina.

'Regions connected to the national grid' Hivi kuna mkoa haujaunga kwenye grid ya kitaifa, taarifa zinasema Dar ndio kwanza palikua pabaya, sasa Tanzania bila Dar wapi kwengine..... Huko mikoani ukikatika mchana wengi huwa hamna habari maana umeme wenyewe mnautumia tu usiku kwenye mataa.
 
Yaan mzee.unatuumbua huk kwa media,had sio poa.
 
Aibu hii kwa mtu mzima kuzuwa mambo yasio kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…