Tanzanian Activists Storm U.S. Congress Over Human Rights Violations

Jamani mlio karibu na Mama Abdul, hivi anajisikiaje kuona Watanzania walio na akili kubwa kumpinga düniani kote? Mama Abdul anajidanganya kujiweka karibu na machawa (Steve Nyerere, Mwijaku, Baba Levo, Dotto Magari, na wasanii wa fleva) wasio na akili kuhisi watanzania wote wako na akili kama wao. Kwa habari hizi za kupigwa vita na wananchi wake walio na akili kubwa, itatufanya Watanzania sasa tupigwe ban kwenda Marekani kwa ujinga wa CCM.
 
Uchaguzi ujao,ccm itafanya,ila Kuna Kila dalili ccm kuunda serikali ambayo haiatambulika huko duniani
 
Reactions: UCD
😂😂😂😂 Kwei failure is an orphan

Dogo kapigwa sana huku home kila alipokuja kugombea chakandumu primaries lakini sasa kaona apige harakati tu
 
Katika hao wawili yupi Ana akili?
 
 
😂😂😂😂 Kwei failure is an orphan

Dogo kapigwa sana huku home kila alipokuja kugombea chakandumu primaries lakini sasa kaona apige harakati tu
Kila akija Mbarali anachezea kichapo
 
What about them?
What do they have to do with Tanzania

I see, you mean Samia Suluhu Hassan is bringing Gaza to Tanzania?

She will not be allowed to do that.
Not,you got it wrong simigo
 
Umeelewa lakini..huyo sijui akivisiti uchwara anateseka kwa kuukosa ubunge mara zote hapa Mbeya
Hilo ni suala jingine, lakini kama nchi tuna matatizo sasa hivi ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi yasije kudhuru wengine na kuota mizizi ikawa ni kidonda sugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…