Sasa hayo mambo tunayohitaji kuyafanyia kazi ndiyo huyo bwege wa Mbarali anapeleka Congress ya MarekaniHilo ni suala jingine, lakini kama nchi tuna matatizo sasa hivi ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi yasije kudhuru wengine na kuota mizizi ikawa ni kidonda sugu.
Wote wana akiliKatika hao wawili yupi Ana akili?
The bar is too lowWote wana akili
Safi sana...tunataka nchi ichafuliwe kwa kuanika ukweli dhidi ya CCM.Liberatus Mwangombe and Likokola raise their voices to rescue democracy in Tanzania
View: https://youtu.be/l9erg9tHckI
Carifania ndio nini bro?What about in Carifania and Gaza ?
Jimbo jipya la marekani, na yeye ndie governor.Carifania ndio nini bro?
Mbona umesema hivyo?Carifania ndio nini bro?
HakikaMungu wabariki Wazungu