Kanumba wiki iliyopita katika kipindi cha Take One kinachorushwa hewani kupitia Clouds TV alimtolea uvivu baba yake, Mzee Kusekwa akidai amechangia katika mateso yake aliyoyapata utotoni.
Baada ya Kanumba kueleza hayo, baadhi ya watu wakiwemo wasanii wenzake walimshangaa na kueleza kuwa kitendo alichokifanya si cha kiungwana kwani mzazi ni mzazi tu, hata kama amekosea si sahihi kumdhalilisha.
Ile bible statement isemayo ''Waheshimu baba yako na mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi'' Ina mahusiano gani na hiki kifo. katika afrika bara ambalo uchawi bado una nguvu sana watoto hawashauriwi kuwashutumu wazazi hadharan, ni hatari sana.