Tanzanian Beggar Jailed for 30 years in Kenyan Prison

Labda...

Ila huyo mama hata muonekano na lafudhi ni mkenya..
 
mbna hakuna omba omba kutoka somalia,ethiopia, s.sudan, uganda? ni tanzania tu, nchi ya asali na maziwa??
Huku Tanzania..ndio wamejaa hao ulio wataja .... ....

Tena wakenya wanaongoza na wananunua mpaka uraia kimagendo...

Wanafata asali na maziwa... ..
 
Labda...

Ila huyo mama hata muonekano na lafudhi ni mkenya..
Wewe ni mjanja kuliko mahakama ya Kenya ambayo inasema yeye ni mtanzania? Hii denial attitude kutoka kwa wabongo ndo inafanya Tanzania isikue developed.
Katika hii maisha ukitaka kuendelea haraka kubali ukweli sio kubisha bisha kila wakati.
 
These thugs gets into Kenya easily because Kenya is a Lawless Society. And they know well how to bribe Kenyan Police and immigration officers with 500ksh,
Mkenya hawezi kuja Tz kiboya bila clear papers.
btw, she will be released .
Uko na roho ya chuki Sana , na inaonesha hujawah ingia Tz ww wakenye kibao hawana karatasi hata na Moja na walikuja Tz na bodaboda so kama hujui Acha chuki
 
Nawewe Masha love unalopoka tu
 
Miaka 30? Kuna kosa lingine ama hilo tu la kuomba omba, ni kweli hawa Watanzania wamekua kero ila hicho kifungo sijakubaliana ncho.
 
Miaka 30? Kuna kosa lingine ama hilo tu la kuomba omba, ni kweli hawa Watanzania wamekua kero ila hicho kifungo sijakubaliana ncho.
Alitumia mtoto mlemavu kuomba omba, mtoto ambaye sio wake. Tena mtoto mlemavu aliyevushwa boda kinyemela kutoka kwao Tanzania kwa nia ya kufanya huo utapeli wake jijini Kanairo. Ingekuwa ni mimi hakimu na sheria inanikubalia ningemuongezea zingine kumi. Ila nimependezwa sana na chanzo cha habari cha uzi huu. 😏 Noo ginya makaaria Gíkúyú gúkú Tanganyika, maede matiede. 😎
 
Hehehe! Duh...
ila kweli, bora wafanye watu wazima ila hilo la kutumia watoto huwa linaniuma sana.
 
These thugs gets into Kenya easily because Kenya is a Lawless Society. And they know well how to bribe Kenyan Police and immigration officers with 500ksh,
Mkenya hawezi kuja Tz kiboya bila clear papers.
btw, she will be released .
You forgot the most important thing - yeye ni ombaomba. Wakenya sii ombaomba. Wakenya wakija Bongo ni kufanya kazi, sii kuombaomba.
 
Hii haina comeback.🤣🤣

Kenya = USA
Tanzania = Mexico
 
Kupea pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…