Mpeni sifa Yesu
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 646
- 129
Yeah, that's sad too. But what's your point??
Yeah, that's sad too. But what's your point??
a kenyan will always be kenyan, siku zote wanawaona watz kama watu wasiofaa, na hii thread wameleta kwaajili ya kuwaumiza mioyo watz. haina maana. huyo mwandishi alisahau chokolaa ambao dunia nzima inajua wanapatikana kenya tu, chokolaa ambao wanaweza hata kukurushia kinye.si cha binadamu au cha kwao kama utawakatalia pesa kwenye mitaa ya Nairobi?...they've forgotten all that. Tanzania iko kwenye position nzuri sana kuinuka kiuchumi kuipita kenya muda wowote kuanzia sasa kama tukakaa vizuri, ndio maana we are a threat to kenyans, watafanya lolote kutudiscourage ili tusiwazidi. Mungu ibariki Tanzania.
Is this the East African giant you are telling Tanzania to emulate????:alien:
Kanyaboya aka The Conqueror said:And yet they are in their country, and they still want to come in droves when no Tanzanians (except in rare cases) is even interested to go to Kenya.. they are taking a very big risk.......nikisema neno nitaitwa mchochezi and that am inciting..ngoja ninyamaze mie...mwenye macho haambiwi tazama!
And yet they are in their country, and they still want to come in droves when no Tanzanians (except in rare cases) is even interested to go to Kenya.. they are taking a very big risk.......nikisema neno nitaitwa mchochezi and that am inciting..ngoja ninyamaze mie...mwenye macho haambiwi tazama!
Nope. What's the insecurities for? You know I can also choose to tell you of Uwanja wa fisi, dar etc and how they are way worse than Kariobangi, but that wouldn't help a thing, it's a waste telling of the slums, they are everywhere you go you know, and it doesn't prove anything, esp. in Africa.
RD there is a great difference between slums and informal settlements, e.g slums are in kibera, informal settlements are like manzese. that is why in kibera you have squarter upgrading programme(sup) and in manzese community infrustructure upgrading programme (ciup) and business and property formalisation programme (bpfp), i.e after putting the infrastructure in place the next thing is to give to the property owners the certificate of occupancy.Nope. What's the insecurities for? You know I can also choose to tell you of Uwanja wa fisi, dar etc and how they are way worse than Kariobangi, but that wouldn't help a thing, it's a waste telling of the slums, they are everywhere you go you know, and it doesn't prove anything, esp. in Africa.
That's corruption at work! We didn't say we don't have that problem in Tanzania..they are exchanging experiences with the more experienced nyang'aus.. .. i don't think Tanzania is short investment opportunities to the extent of NSSF going to Kenya. They want to eat without being noticed...wapumbavu kabisa, nyang'aus are everywhere!Nope. What's the insecurities for? You know I can also choose to tell you of Uwanja wa fisi, dar etc and how they are way worse than Kariobangi, but that wouldn't help a thing, it's a waste telling of the slums, they are everywhere you go you know, and it doesn't prove anything, esp. in Africa.
Not seen this yet?
View attachment 14462
Well, that's about USD 20 Million interest in Nairobi, by your govt.
Immigration inafaa kuwachukua hawa watu na kuwa deport hadi kwao Bongo, hao ndio wanaotuchafulia miji yetu. Tanzania iko chini, raia wamesota hwajasoma, ni walazy, wabishi na xenophobic. mimi nawajua coz nishafanya kazi na bado nina shughuli nyingi sana huku bongo. mnasema hakuna waTanzania Kenya, kwasababu nyinyi hamjatembea, watanzania wamejaa Kenya, pale Taveta wachagaa ni wengi wanaibia watu pochi na vibeti, its a known fact, generation ya akina eliakeem na Kanyabwoya ndio eti ya wasomi na inataka kuchukua leadership.. hehhehhehe, wakina Abdulhalim badala wajenge taifa wanabeba maboksi tu huko ughaibuni, wanamajukumu chungu mzima hata hawawezi tuma hela nyumbani, huu ujwaji na uswahili ndio utakaowamaliza. ijumaa kareem

Mwingine huyu! najua mko wengi tu mnamezea mate Tanzania imejaa oportunities, hebu sema wazi wewe uko wapi, kama hauko pemba unabeba sahani!!! maana mmejazana sana huko mnagawa tigo kwa waitaliano! Nchi yenu imeshagawanwa na hivo vigagula wenu, nyie mtaishi kuwa wakimbizi tu kama hamtafanya hima, Tanzania tunakuja kwa kasi ya ajabu, tena nawaambieni kwa hasira zenu wala hiyo EAC haiwezi kudumu, kama Nyerere aliona upumbavu wenu akaivunja!
looooool, this is some funny stuff!! Tanzanians are truly lazy, nnnnnnkkkt, freakin bongo lalaz!
Ukiona jitu linapenda kukusema sema sana wakati pengine hata hulijui au unalijua lakini huna mahusiano nalo, au hamna intimate relationship nalo, ujue linaku-admire sana, na usipokuwa makini, unaweza kudhani kuwa linakudharau, wakati kumbe lenyewe ndiyo huwa linadhani kuwa unalidharau. Ukishaona hivi, unakuwa ndiyo muda muafaka kwako wewe kulidharau!