Tanzanian bloggers have only 2weeks left to register

Hahaha, Steroids haswa, not with all these changes.
We Wish!...πŸ™‚

For us to get to that level, guess we need both steroids and a shot of espresso to wake us up.
 
Hizo habari mkazitolee huko kwenu Kenya ambao mnaishi kwa kubaguni makabila. Hapa kwetu Tanzania, hayo hayaruhusiwi.
 
Hizo habari mkazitolee huko kwenu Kenya ambao mnaishi kwa kubaguni makabila. Hapa kwetu Tanzania, hayo hayaruhusiwi.
vipi, mbona ukatumia incognito handle?? tupe majina yako kamili na address pia.
 
Very true it has to begin somewhere you know. Whats with all the police presence anyways? I saw very heavy weapons. Were they planning to use them on demonstrators? If it ever happens and you are part of it make sure you are never in the frontline. Just in case. Self preservation is important you know. Hahaha πŸ™‚
 
Hahaha, Steroids haswa, not with all these changes.
We Wish!...πŸ™‚

For us to get to that level, guess we need both steroids and a shot of espresso to wake us up.
You forgot, and maybe a shot of adrenalin too. Sometimes the mind decides to just do it but the body might refuse to second the motion. True?
 
You forgot, and maybe a shot of adrenalin too. Sometimes the mind decides to just do it but the body might refuse to second the motion. True?

Hahah!, very True. Sorry Jirani nilipotea kidogo lakini kunakojulikana! πŸ˜€

Will sure do! πŸ™‚

You know what, that's something that worried me.
Those dumbbells would've used those weapons mercilessly on their own people.
But we're not losing hope. Kama nyie mlifika na sisi tutafika. God Willing.

Rumor has it...there's more to come. And this time wanataka ku hit where it hurts the most..
 
Welcome back. Huku kuna wasiojulikana, usiwaibie siri! πŸ˜€ Hatujafika bado hata sisi, tupo half time tu. Believe me. Hahaha. On other matters I missed your input. Much. πŸ™‚
 
Welcome back. Huku kuna wasiojulikana, usiwaibie siri! πŸ˜€ Hatujafika bado hata sisi, tupo half time tu. Believe me. Hahaha. On other matters I missed your input. Much. πŸ™‚

Thanks Jirani!

Hehehe!, sintawaibia siri πŸ˜€
But I envy you guys, at least mko a couple of steps ahead of us in most levels. Kuanzia juu kwenye uongozi kwa wenye nchi, mpaka chini kwa wana nchi. At least you know want to expect.

Sasa sisi tuna episode mpya every single day, from Diamond's arrest, to the expel of an Engineer, to Unrest, and being scared to death while walking on the street that some zombie might jump out of the bush and attack you just because you 've been listening to BBC. Hata sielewei elewi tena kwetu!
 
Listening to BBC? [emoji15][emoji15][emoji15] C'mon! Tuna mapungufu yetu pia. Ila Rais Uhuru kaanza handshake offensive na kila mtu kutoka upinzani hadi maadui wake wa kawaida. Yaani sasa hivi tunasameheana hata kabla hatujakoseana. [emoji38] Wengine wanadharau hizi juhudi za rais lakini I have a feeling watakumbuka haya yote hivi karibuni.
 
Mnasamehe kabla hata ya makosa! [emoji23]
Lakini Uhuru ni Levels kwa kweli.
Kwa yaliyotokea, and the way he carried himself and everyone else for this case, in every point of opposition...that's political maturity. Something you never see in Africa, East to be exact.
 
Anajaribu. Rangi zake rais Uhuru tunazijua tangu zamani. Akitoa hotuba yake juzi pale bungeni yule dogo, mbunge Babu Owino, aliyemtusi Uhuru kwamba yeye ni mtoto wa mbwa πŸ™‚ alijifikisha mwenyewe hadi jukwaani akapeana handshake. Hata kabla ya hotuba kuisha. Nice gesture kutoka kwa Babu, ila ana bahati sana. πŸ˜€
 
Hapa sisi wakenya tunanunua jf alafu pia tunataka nyuzi zetu ziwekwe pale kwa jukwaa la siasa manake tunatawala hapa sasa.
 
Nampenda Rais Uhuru Kenyatta

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…