Tanzanian dig Unearths Ancient Secret

Ufunuo wa Yohana

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
319
Reaction score
72
Prof Chami work


source: http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/1924318.stm
 
I heard about this siku tatu zilizopita... very interesting find.... thanks Ufunuo kwa kuiweka hapa....nilijisahau kuipitia na kuibandika jf.

Mimi nilivyosikia ni kuwa ni baada miaka 60,000 ndipo watu kutoka S.Africa walipokutana tena na wa East Africa baada ya kuachana kwa kupoteana na hivyo kutengana kabisa, kabla ya hapo miaka laki (kadhaa) wakilikuwa wakiishi pamoja baada ya species ya binadamu kujitokeza/kuivolve duniani....

SteveD.
 
Even though professor Chami says this is the most significant find, I believe this is the tip of the iceberg.The ancient book The Periplus of the Erythraean Sea (1st c. A. D. Greek) revealed a lot about trade between the Greeks and East Africa, I had an English boss who told me that ironwork was going on in present day Tanzania long before England, and one time there was an export trade in iron from East Africa to Europe.
 
wenyewe watu wa Mafia mbona hatuna khabari nayo hii?

Shibe nyingi. Samaki wamekuwa wengi karibu na ufukwe.

Hivi ule uwanja wa ndege umeshatiwa lami? Labda utalii utaongezeka na kuongeza maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…