Tanzanian doctors oppose Kenya's plans to hire them

Kwa njaa na ukosefu wa ajira ulipo Tanzania


Sidhani kama kuna wa kugoma kwenda kenya
 
Utaifa kwanza......waimarishe nyumbani baadae ndio nje
Umeishi Kenya for 30yrs, kwa hivyo kisheria, wewe ni raia wa Kenya.
Anyway, hebu elezea sababu nzuri ya wao kutokuja kufanya kazi huku.
 
Thank God Tanzanians said no, Kenyan government has to deal with its problems head on, Kenya has the best doctors no doubt let's keep it that way
Tanzania has the best doctors and morals!
 
Utaifa kwanza......waimarishe nyumbani baadae ndio nje
Waimarishe nyumbani ukiwa na maana waendelee kutoa mimba za mabinti mitaani au.....??

Vijana hawana ajira unataka waimarishe nyumbani kwa njia zipi...??

Acha wakafanye kazi huko wakishindwa watarudi tu
Mbona wako wengi wanafanya kazi Namibia na Botswana
 
True that... When Kenya is Ranked the 157th most Corrupt Country in the world; Hata president Heshima zake aokote kwa choo....
kinacho niudhi zaidi ni kuwa anaifanyisha kuonekana huu ni mgomo wa pesa tu. Ana ignore 90% of CBA anaangazia mshahara ya madaktari tu.
 
Nikajua utakuja na sababu hapa za maana, ingekuwa utaifa kwanza wewe umekaa huko kufanya nini miaka yote

Hapo umembana na swali la msingi ambalo hatakupa jibu, mtu utaishi vipi nchi ya watu zaidi ya miaka 30 na bado unongelea kuhusu utaifa wa kwenu, bado unawaambia watu wa kwenu wabaki huko huko. Mzalendo yeyote lazima uwe unakumbuka kwenu baada ya kila muda mfupi.

Mimi huwa nasafiri kwenda sehemu mbali mbali na huwa nakuja hata huko Tanzania mara kwa mara, lakini kwa uzalendo nilio nao kwa nchi yangu, huwa nageuza mara moja nikikamilisha shughuli zangu, hata siwezi ruhusu ipite siku moja. Huwa najikuta nawaza nchi yangu, watu wetu, familia yangu, wimbo wetu wa taifa na kila kitu kinachohusu Kenya kwetu. Siku nikijiandaa kurudi kwetu lazima nicheze huu wimbo kwenye hii video hapa chini

Hamna kitu kitamu ukiwa kwenye KQ halafu unaona mandhari ya nchi yenu wakati mnakaribia karibia.

 
Mkuu tumia akili ndogo tu Ku reason hapa. Kama Tanzanian's drs watakubali maana ake kuba uwezekano mkubwa kuuwawa ndo maana MAT imesema mpaka mgogoro wao uishe. Mmesoma shule gani nyinyi?
Wakauawa na nani Kenya ni sehemu salama na tunaijua kuliko hata nyie wakenya. Wako Madaktari kibao Mogadishu,Kismayo Juba wasiuawe waje wauwawe Kajiado
 
Wakauawa na nani Kenya ni sehemu salama na tunaijua kuliko hata nyie wakenya. Wako Madaktari kibao Mogadishu,Kismayo Juba wasiuawe waje wauwawe Kajiado
Wacha kukurupuka sio kila mtu anayechangia hapa ni Mkenya. Huyo uliyemjibu ni Mtanzania mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…