Tanzanian drug trafficker in DCI(Kenya) custody emits 69 pellets of narcotics

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459

Msafiri Musa, one of the Tanzanians arrested at JKIA for drug trafficking on Thursday, November 22, 2018. /DCI

A Tanzanian drug trafficker who was among three arrested for drug trafficking at JKIA on Thursday has emitted 69 pellets.
The lot was arrested for allegedly transporting narcotics concealed in their rectum. The pellets were detected during a security screening.
The DCI said the suspects, who are still under observation, were on their way to China and India.
"Msafiri Musa, a Tanzanian has already emitted 47 Pellets of Narcotics. All suspects still under observation," DCI said in a tweet.

DCI has made an application at the JKIA law court for custodial orders to facilitate completion of the investigations.
 
ole wake ni Kenya, ingekuwa China.
ingekuwa ndiyo nitolee hiyo.
 
ole wake ni Kenya, ingekuwa China.
ingekuwa ndiyo nitolee hiyo.
Umeenda mbali, ingekuwa ni mkenya amenaswa Tz kwa chuki na paranoia zenu mngesema ametumwa na serikali ya Kenya kuihujumu serikali ya donor country na vijana wake. Tena mngemlimbikizia kabisa na tuhuma za ujasusi pia. πŸ˜€
 
Duh halafu jamaa alikua amezindika humo humo kwenye Tigo.... WaTz bana
 
Tanzanian foreign embassy has been very clear, you are caught in illigal business in another country, you are on your own
I think maybe you meant illicit business. [emoji1] My apologies, I just couldn't stop myself from pointing that out. 😎
 
Duh halafu jamaa alikua amezindika humo humo kwenye Tigo.... WaTz bana
Hahaha! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Moja.. mbili... tatu.... hadi 69! Dah! [emoji15] Hata pochi la kangaroo haliwezi beba huo mzigo wote.
 
Hongera vyombo vyetu vya dola kwa kazi safiiii ya kumnasa huyu mswahili, aisee ila namwonea huruma mazee, wataminya korodani zake hadi basiii...pole zako mzee musa ila hakuna namna! Mtandao lazma tuumbue.
 
Umeenda mbali, ingekuwa ni mkenya amenaswa Tz kwa chuki na paranoia zenu mngesema ametumwa na serikali ya Kenya kuihujumu serikali ya donor country na vijana wake. Tena mngemlimbikizia kabisa na tuhuma za ujasusi pia. πŸ˜€

longolongo za NINI? Acha sheria zifuatwe.
 
Hatujafikia hatua hyo ndugu !
 
longolongo za NINI? Acha sheria zifuatwe.
Dah, maskini ndugu yako Msafiri Musa, wewe muone tu alivopigwa na butwaa. Nasikia huwa wanapewa uji wa unga wa ngano kwa lazima alafu wanafungiwa kwenye room flani hivi, kuta zote na sakafu, tiles tupu, kwa masaa 24. πŸ˜€
 
Please serikali ya Kenya, just nyonga tu watu kama hawa maana wanawatesa wenzao kwa kuwauzia narcotics na kuwaharibu akili (Rose Muhando, Ney wa Mitego, Wema, Hamisa, Chid Benz, Ray C, Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu).
 
ameua wengi huyo. muache akome.
 
Please serikali ya Kenya, just nyonga tu watu kama hawa maana wanawatesa wenzao kwa kuwauzia narcotics na kuwaharibu akili (Rose Muhando, Ney wa Mitego, Wema, Hamisa, Chid Benz, Ray C, Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu).

Subiri tena usiende mbali, utajibiwa haswa hapo pa kuhusisha Lissu na Zitto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…