Washamba sana nyie, huwa wanazimeza, haipaswi kula kitu zaidi water, ukifika final destination unaenda kuzikunya pamoja na mavi, unazitenga unaenda ziuza.Duh halafu jamaa alikua amezindika humo humo kwenye Tigo.... WaTz bana
Washamba sana nyie, huwa wanazimeza, haipaswi kula kitu zaidi water, ukifika final destination unaenda kuzikunya pamoja na mavi, unazitenga unaenda ziuza.
Hao wafanyayo hayo, huitwa mules.
Mhhhhhh, rose muhando????? Uyu msanii was injil??Please serikali ya Kenya, just nyonga tu watu kama hawa maana wanawatesa wenzao kwa kuwauzia narcotics na kuwaharibu akili (Rose Muhando, Ney wa Mitego, Wema, Hamisa, Chid Benz, Ray C, Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu).
View attachment 943934
Msafiri Musa, one of the Tanzanians arrested at JKIA for drug trafficking on Thursday, November 22, 2018. /DCI
A Tanzanian drug trafficker who was among three arrested for drug trafficking at JKIA on Thursday has emitted 69 pellets.
The lot was arrested for allegedly transporting narcotics concealed in their rectum. The pellets were detected during a security screening.
The DCI said the suspects, who are still under observation, were on their way to China and India.
"Msafiri Musa, a Tanzanian has already emitted 47 Pellets of Narcotics. All suspects still under observation," DCI said in a tweet.
DCI has made an application at the JKIA law court for custodial orders to facilitate completion of the investigations.
hahaha, eti donor country. Huendi mbinguni weweUmeenda mbali, ingekuwa ni mkenya amenaswa Tz kwa chuki na paranoia zenu mngesema ametumwa na serikali ya Kenya kuihujumu serikali ya donor country na vijana wake. Tena mngemlimbikizia kabisa na tuhuma za ujasusi pia. 😀
Hizo wala usiziamini kihivyo, wabongo bingwa kwenye kupakana matope ya uongo.Dah haka kamchezo naona unakafahamu ipasavyo, afu nakumbuka niliskia sababu za Wachina kuruhusiwa kuitafuna nchi yenu watakavyo ni baada ya pale walimkamata prince wenu mmoja.
Wawili wamekamatwa Leo na bangi.Tanzanian foreign embassy has been very clear, you are caught in illigal business in another country, you are on your own
Madam, There is no need to quote my messages, I normaly do not reply to you because I cant understand how you as a lady lives in such a state of constant bile and envy.Wawili wamekamatwa Leo na bangi.
Yaani mkikuyu mmeamua kuwaleta beggars, witchdocs, drug dealers & people with mental disorders Kenya?wanakimbia sababu ya ufukara huko tz
Si lazima uninukuu .Na sijui Uhuru ameingililia wapi hapa. I am not even his supporter & sijui alikufanyIa nini na wewe ni mbongoLALA.You r the envious one. Block meMadam, There is no need to quote my messages, I normaly do not reply to you because I cant understand how you as a lady lives in such a state of constant bile and envy.
No matter how many times you quote me, you cannot change my mind that Uhuru is an incompetent drunkard who has rundown kenya with tribalisim, situpidity and corruption
Then please leave me alone, usijisononeshe na mtazamo wangu wa kisiasa..Whether am kenyan or tanzanian is not your problem. Jipe shughuli madam, very strange for a lady to be soo bitter with a foreign country..Get a lifeSi lazima uninukuu .Na sijui Uhuru ameingililia wapi hapa. I am not even his supporter & sijui alikufanyIa nini na wewe ni mbongoLALA.You r the envious one. Block me
You are not a Kenyan. Chunga sana usipate maradhi ya moyo ukiwaza jubilee .,[Uhuru
nani afanye ujasusi Tanzania? kenya?kenya? hahahahahahahahaUmeenda mbali, ingekuwa ni mkenya amenaswa Tz kwa chuki na paranoia zenu mngesema ametumwa na serikali ya Kenya kuihujumu serikali ya donor country na vijana wake. Tena mngemlimbikizia kabisa na tuhuma za ujasusi pia. 😀
I am laughing uncontrollably right now.Then please leave me alone, usijisononeshe na mtazamo wangu wa kisiasa..Whether am kenyan or tanzanian is not your problem. Jipe shughuli madam, very strange for a lady to be soo bitter with a foreign country..Get a life
Haya basi am Tanzanian,There is nothing to be ashamed of a country with diligent leadership. Jipe shughuli bana.. Olewa oata watoto wacha kushinda JF na pumba za kishenziI am laughing uncontrollably right now.
Eti bitter? Never !it's you because you criticize everything, be it politics, sports, business where Kenya is featured and you've never given any credit. Just accept who you are, a Tanzanian. No one will crucify you. Anyways if you think I am bothering you by quoting you then I'll just leave you alone kama ulivyosema.But I will continue quoting you whenever I feel like.
nani afanye ujasusi Tanzania? kenya?kenya? hahahahahahahaha
Kilaza kweli we!Wawili wamekamatwa Leo na bangi.
Yaani mkikuyu mmeamua kuwaleta beggars, witchdocs, drug dealers & people with mental disorders Kenya?wanakimbia sababu ya ufukara huko tz