Tanzanian Drug Traffickers

Status
Not open for further replies.

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335
This is getting out of control. Almost everyday now you hear a Tanzanian drug trafficker has been caught.

We are slowly getting a reputation like Nigerians. Soon our passports will be worthless







 
It is indeed, very sad that more and more Tanzanians turn to drug trafficking, but I think it is the same mentality ya 'dili' that is taking us down the same path as Nigerians. We do not want to work hard to gain, we want everything now and all! It is not an individual problem but collective. We have to stop this mentality!
 
Ostrich like, tunaingiza kichwa kwenye mchanga ili tusione! Kazi kulalamika tu. Na huko Malaysia adhabu ni kifo kwa kukutwa na drugs. Hivi kwa nini hatuoni kuwa hili limeukuwa ukimwi mwingine kwa jamii yetu? Kwa nini hatuwaonyi vijana wetu kama vile tunavyowaonya kuhusu ukimwi? Mwanzo mzuri ungekuwa kuwashughulikia hao ma-don ambao nasikia kila mtu anawajua!
 
This is the second story just today with Tanzania or Tanzanians somehow involved in Draug Trafficking. Our contry and people are slowly becoming synonymous with illegal drugs

 
Nadhani wakati umewadia kwa ile orodha ya vigogo wa madawa ya kulevya kuanikwa hadharani, hata kama ni wafadhili wa CCM potelea pote. Hii ni aibu kwa taifa, ni maafa kwa vijana wetu na hatima yake ni kuifanya Tanzania kuwa nchi inayoendeshwa kimafia mafia tu. Juzi nilipokuwa bongo mwandishi habari mmoja alinielezea jinsi alivyofuatilia gari la polisi lililo"wakamata" vijana wa madawa ya kulevya pale airport. Anasema vijana hao walichukuliwa na polisi na kupelekwa "guest house" moja ambapo baadaye aliona wakiachiliwa huru. Akaniuliza umeshawahi kusikia kesi yeyote inatajwa mahakamani ya vijana wa madawa ya kulevya waliokamatwa aiport? Kwani wametokomea wapi? Ndiyo Bongo yetu hiyo.
 

Mie nina wasiwasi kuwa hata hawa CCM wanaweza kuwa unga ndiyo biashara yao kubwa inayo-finance shughuli zao, ona ile list ya yule marehemu Amina, kikwete kimya; vijana wengi wameshikwa Airport, kesi zao zote hazijawahi kutajwa!
 
Wengi kati ya hawa wafanyabiashara haramu ya madawa ya kulevya wanajihusisha sana na chama cha mapinduzi, kwahiyo kwavile CCM ndio imeshika dola basi UFADHILI wa hawa jamaa kwa chama hiki unaifanya serikali yake ishindwe kuwathibiti wauza unga hawa ambao wanatuhalibia vijana wetu!!Tatizo hili litashuhulikiwa kikamilifu kama ccm itajirudi na kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi na si chama cha mafisadi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…