Tanzanian gov’t demanding Ksh1M to release 36 Kenyan fishermen

Tanzanian gov’t demanding Ksh1M to release 36 Kenyan fishermen

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
Tanzanian security officials have reportedly demanded Ksh.1.3 million to free 36 Kenyan fishermen arrested and detained on Sunday, November 4, 2018 for alleged trespassing.

The neighbouring country is also asking for Ksh.200,000 for each of the ten boats seized during the operation on Lake Victoria.

This comes barely two months after six other fishermen were arrested, detained and arraigned before Tanzania court where they were released after paying Ksh.37,000 each.

Speaking to Radio Ramogi, Muhuru Ward Beach Management Unit Chairman Tobias Mragire accused the Tanzanian officials of being cruel towards Kenyan fishermen, adding that they have been met with unnecessary hostility and now want intervention from the Kenyan government.

Nyatike Member of Parliament Tom Odege also appealed to top government security officials to help in securing the release of the 36 fishermen from Migori County, further challenging the East African community countries to get long lasting solutions to border issues.

Mr. Odege said harassment meted against Kenyans in Lake Victoria is watering down the good relationship which East African countries have enjoyed for a long time.

Migori County police boss Joseph Nthenge said they are following up on the matter to establish why the fishermen were arrested.

Mr. Nthenge also urged Kenyan fishermen to stop trespassing into the Tanzanian waters saying those culpable will be subjected to the Tanzania laws.
 
Only ..10,000 dollars [emoji23][emoji23][emoji23]...bakuli ...zitaenda sgr tz
 
We grew up along the Victoria hearing "Jakenya ber motho".
Yote sababu ya cruelty yenyu.
Ndo leo mnalaumu Bongo eti unnecessary hostility!?
 
Mmm upo timamu kweli?

Huo upuuzi mbona enzi za nyerere vita na majirani havikuwepo?
Una uhakika na ulichokisema??

Unaikimbuka saga ya kufungwa kwa mpaka kati ya Kenya na Tanzania mpaka Sokoine wakati huo ndiye PM akaikomalia hio ishu ndio ukafunguliwa??
Au ulikuwa hujazaliwa??

Ulikuwa ni utawala wa nani enzi hizo??
 
Una uhakika na ulichokisema??

Unaikimbuka saga ya kufungwa kwa mpaka kati ya Kenya na Tanzania mpaka Sokoine wakati huo ndiye PM akaikomalia hio ishu ndio ukafunguliwa??
Au ulikuwa hujazaliwa??

Ulikuwa ni utawala wa nani enzi hizo??
Walilipishwa bei gani? Hata kwa jk magar yaliwahi kuzuiwa kwenda kenya

Lakin hatukukuwah kuona kulipishana mipaka hufungwa mmoja asipokidhi vigezo
 
Hiyo ni operation okoa sangara boss mvumilie sisi wenyewe wabongo ziwani tumeshakimbia ytunaacha samaki wa watu wazaliane. Wakilegeza kamba sisi wavuvi huwa tuna tabia ya kukwangua mpaka mayai ya samaki. Tuvumilie na hata ninyi upande wenu ongezeni nguvu mjifunze na mbinu walizotumia upande wa Tanzania hadi sangara sasa wana ukubwa wa ngo'mbe kiasi cha kuwavutia wakenya waje kuwazingira
 
Walilipishwa bei gani? Hata kwa jk magar yaliwahi kuzuiwa kwenda kenya

Lakin hatukukuwah kuona kulipishana mipaka hufungwa mmoja asipokidhi vigezo
Inafahamika duniani kote kuvuka mpaka na kufanya shughuli yoyote ya kiuchumi ndani ya nchi nyingine ni kosa la jinai na linatozwa faini au kifungo kabisa.

Kesi ya wavuvi wa Karagwe kuuawa huko Rwanda mara baada ya kuvuka mpaka na kuvua samaki maji ya Rwanda iliishaje??
Kesi za Watanzania kukamatwa huko Kenya na mali zao kuwa confiscated huwa zinamalizwa vipi??

Kesi za wavuvi wa kisiwa cha Migingo baina ya Kenya na Uganda huwa zinamalizwa vipi??

Mipaka ya nchi huwa inaheshimiwa duniani kote, na hili ni suala la Kisheria la kuburuzana mahakamani kabisa, na ukikutwa umevuka mpaka wa nchi nyingine ukawa na silaha hata kama ni panga ni kesi ya kupigwa shaba kabisa on-spot.

Kwa nini sheria ilegezwe kwa Wakenya??
 
extortion jameni
1541521733273.png
1541521733273.png
yaani hii ni nchi ya omba omba tu
 
Inviolability of frontiers of sovereign state.
 
Back
Top Bottom