Tanzanian MP, Hon Tundu Lissu blames Government

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Tanzanian MP Hon. Tundu Lissu who is nursing injuries inflicted on him by unknown gunmen has blamed the Tanzanian government for not doing much to catch the "unknown attackers".

Mr. Tundu Lissu addressing a press conference in Nairobi, Kenya says the government of Tanzania has shown all signs of unwillingness to do a proper investigation, raises a lot of questions.

 
Unatafuta ugomvi na watu, ukisema mambo ya kujua kiingereza kinoma utatukanwa ujute. Sema hajui kiingereza, utakubalika!
 


Huyo siku akitoka Psychiatry huko Ubelgiji na kumkuta Mke wake au akiyekuwa Mke wake ana Mimba atailaumu Serikali!
 
Huyo siku akitoka Psychiatry huko Ubelgiji na kumkuta Mke wake au akiyekuwa Mke wake ana Mimba atailaumu Serikali!
Mbona wewe ni bastard boy na uko humu unapost? kwani una shida gani, si upo unadunda kwa kwenda mbele
 


Waliopanga na kutekeleza jambo hili moto wa milele wanao,wataungua na kuungua sn.
Adhabu yao ni Kali zaidi.

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Taifa limegawanyika kabisa.
.
 
FOCUS ON AFRICA BBC interview with a Tanzanian opposition leader Mr. Tundu Lissu. And following this story on the BBC, a record reaction of over 350,000 followers, twits, emails etc jammed the BBC online media

 
Huyo siku akitoka Psychiatry huko Ubelgiji na kumkuta Mke wake au akiyekuwa Mke wake ana Mimba atailaumu Serikali!


No research no right to speak. Hivi una habari kwamba amesafiri kwenda Ubelgiji akiambatana na mkewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…