#COVID19 Tanzanian PhD student dies of Covid -19 complications in India

Mtu unasoma weeee...mwishoni huko unakataa..inauma sana
Maisha hayana maana.Kuna wakati tunatesana na kunyanyasana lakini tunachokihitaji hatukijui.Maisha ni Kuzaliwa-Kazi-Familia-Kifo.Hatuelewi hasa tunachokihitaji.Nilijifunza kwa late mkuu wa kaya na kaacha mali kiasi gani?kila kitu ni bure.Umekuja bila kitu,utarudi bila kitu.Bahati Mbaya vyeti havirithiwi.Siku njema Mkuu.
 
Jana tulimzika Marangu jamani Ema, wazazi wake wanapitia wakati mgumu sana. RIP
 
Namfahamu Emmanuel na familia yao . Mwaka juzi walimpoteza kaka yao mkubwa aitwaye Ngaya, mwaka huu amefariki Emmanuel amebaki Haika tu. Kwenye familia walizaliwa watatu sasa amebaki mmoja. Tuwaombee wazazi wake maana ni mtihani mkubwa kwao.
 

Apumzike kwa mja wake mola wengine tunapoangalia kwa kuchungulia na kujisemea: hiiiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…