Tanzanian President John Magufuli has rejected social-distancing measures and instead urged citizens to pray against a ‘satanic’ virus

Insanity is keep doing the same then you expect different results?
 
Kuokota okota habar sehem mbali mbali na kuzileta humu hakuwezi kuwasaidia wapinzani kuingia ikulu mwaka 2025. Tengenezeni hoja zenye mashiko na sera zitazoeleweka kwa wapiga kura

Wewe kweli dudumizi! Nani alikwambia afya zetu ni za kufanyia siasa! Hebu jenga hoja kama unaweza, vinginevyo potezea tu!
 
Jamaa Fala sana yan; linaona fahari kuandikwa hivi
 
Kwa 100% kichwa chako kimejaa ugali badala ya akili, ebu fikiria miaka yote ww na wajinga wenzio mmekuwa mkileta hoja mfu na za kipuuzi namna hii zimeshasaidia nini upinzani. Ok najua kwamb ww unatumiwa data za bure na sometimes buku 5 kwa kutafuta habar za kuokoteza barabaran ili uje uichafue serikali humu. Lkn jiulize hizi habar zinatija gani kwa mwananchi, na zishausaidia vp upinzani kuingia ikulu? Btw kwa kuwa hiki ni kibarua chako kinachokusaidia kuingia msalani kila siku basi una haki ya kuandika unachoona, na sisi tuna haki ya kukukosoa tunanavyoona.
 
Mkuu mi na ww tunatofautiana ktk itikadi za vyama lkn kwa namna fulan huwa nakubaliana na baadhi ya post zako maana huwa zina mashiko na faida kwa taifa. Sio hao wengine ambao wapo humu kila siku kuandika ujinga na ukiwashtua wanakuwa wakali
 
Sijasikia mwana sayansi yoyote yule aliyejitokeza na kusema napingana na kauli za rais Magufuli. Wanajitokeza ni waandishi wa habari wakishirikiana na wanasiasa ambao sio wanasayansi.

Na ingekuwa vyema kama kuna mwanasayansi angeweza kutofautisha chanjo ya Korona vs Kujifukiza. Vyote vinahamsha kinga yako ya mwili kupambana na korona
 
Kuokota okota habar sehem mbali mbali na kuzileta humu hakuwezi kuwasaidia wapinzani kuingia ikulu mwaka 2025. Tengenezeni hoja zenye mashiko na sera zitazoeleweka kwa wapiga kura
Wendawazimu mpo wengi. Kuna sehemu ameongelea ikulu?
 
Magufuli ni professional scientist!! Upumbavu wa hali ya juu. Amewahi kufanya nini katika ulimwengu wa Science? Ana machapisho yoyote yale ya Science yaliyowahi kukubalika na dunia ya wanasayansi?

Kusoma masomo ya science haimaanishi umekuwa mwanasayansi. Nchi hii tuna wajinga wengi kuliko tunavyodhania.
 
Taifa letu toka mwaka 2015 limeongeza kivutio kingine cha utalii, msiniulize ni kivutio gani.
Tumekuelewa. Ndiyo maana waliamua kuongezea wengine kwa kuwasomba toka Serengeti ili kunogesha kivutio ambacho tayari kipo.
 

"and instead urged citizens to pray against a ‘satanic’ virus"Sasa mtu ambae ni shetani wa wizi wa kura,ugandamizaji wa demokrasia na mauaji ya kuholela how come anazungumzia maombi?​

We will pray against satanic leader who is willingly taking his citizens to graveyards.
 
Utafiti umeonyesha wale waliokuwa wanachanja kuzuia ugonjwa wa mafua (common cold) wako kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa na korona na kupata dalili mbaya kabisa, kwa hiyo chanjo dhidi ya magonjwa ya njia ya hewa zinaweza kuingilia mfumo wa asili wa kinga ya mapafu (pulmonary immunity) au kufanya virusi viwe na nguvu zaidi kushambulia mfumo wa njia ya hewa (antibody-dependent enhancement of respiratory infections).
 
Wendawazimu mpo wengi. Kuna sehemu ameongelea ikulu?
Haya endeleeni kujipa moyo kwamb hizi hoja mfu za kuunga unga kuhusu corona ndio zitakazoitoa CCM madarakan. Kama sasa hivi upinzan unatuma watu huku jukwaan kuleta hoja za aina hii kwa lengo la kuiondoa CCM madarakan basi tumelogwa na marehem
 
Magufuli is a professional scientist. Hataki ku apply mbinu za kisayansi anataka tusali.
Askofu wa KKKT, na Baraza la Maaskofu wa Katoliki, sio wanasayansi, wamekuwa wakiusihi umma ufuate maagizo yanayotolewa na wataalam wa afya.
Hapa ndio utagundua elimu inayotolewa chini ya Wizara ya elimu ni takataka kabisa.
Hivi viongozi wa dini syllabus zao zikoje? Mbona Wana akili Sana kuliko PhD holder wa Mlimani?
Ana chapisho lake la korosho
 
Haya endeleeni kujipa moyo kwamb hizi hoja mfu za kuunga unga kuhusu corona ndio zitakazoitoa CCM madarakan. Kama sasa hivi upinzan unatuma watu huku jukwaan kuleta hoja za aina hii kwa lengo la kuiondoa CCM madarakan basi tumelogwa na marehem
Watu wengine mna matatizo gani! Watu wanaongelea masuala ya afya kuhusiana na tishio la Covid 19 na mbinu za kukabiliana nao, mtu kwa upha.vu, analeta mbo ya vyama, ooh kuiondoa CCM madarakani, etc; mtu wa namna hiyo ana akili?

Kuna watu wakilala, wakiamka, wakitembea, wakati wote wanachofikiria ni kuondolewa madarakani. Hata akiwa amesimama katikati ya barabara, ukimwambia simama sehemu salama, anachoanza kufikiria ni CCM kuondolewa madarakani. Pathetic!!!

Mmeiba kura, mmewarangaza mliowataka, hakuna anayewabughudhi, bado tu hamna amani na furaha?
 
Hao wanaoandika kila Mara kuhusu Tanzania na Covid pengine wanawashwa washwa!
 
Mkuu mi na ww tunatofautiana ktk itikadi za vyama lkn kwa namna fulan huwa nakubaliana na baadhi ya post zako maana huwa zina mashiko na faida kwa taifa. Sio hao wengine ambao wapo humu kila siku kuandika ujinga na ukiwashtua wanakuwa wakali
Mkuu umevuta mibangi ya wapi .mbona unarusha mitusi tu humu.
 
Hivi hata hiki kibinti
👇kimekushinda kuelewa what the so called C-19 disease is all about,shameful indeed.Please note this,anything to do with C-19 is demonic!The vaccine,lockdowns,social distancing,barakoas and even the name.Amkeni jamani mmelala mno.Watu wanakufa kwa matatizo mengine mnadanganywa eti wanakufa kwa ugonjwa unaoitwa C-19 disease dah,kweli wajinga ndio waliwao.Hivi Tanzania leo tungeripoti kila mgonjwa anayekufa hospitalini kafa kwa Corona,si tungekuwa na Corona kweli kweli,na ndivyo wenzetu wanaolipwa midola wanavyofanya!Magufuli hataki kufanya hayo,kwa nini hamu muelewi?
 

Attachments

  • VID-20210210-WA0004.mp4
    11.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…