Life.co.tz
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 639
- 368
Kama EL alivyo ulizwa na BBC....Wabongo kwa kudanganyika kirahisi!!!! Nafikiri wanaongoza duniani.Huyo magu anataka kiki za kipuuzi.Awadanganye hao,hao wadanganyika wa Lumumba. Yeye alikuwepo katika serikali iliyopita. Kwanini hakuupinga huo ufisadi?sio kwamba alikuwa haujui. Kama kweli yeye ni mpinga ufisadi, tunataka awawajibishe kisheria hao viongozi wa serikali iliyopita.Kama hawezi asituletee unafiki wake hapa,aupeleke unafiki huko lumumba kwa wenzie.
IQ yake ni ndogo sana huyu mshikaji. Ni mvivu wa kufikiri ndo maana anamlaumu JPM kuwa angezuiaKama EL alivyo ulizwa na BBC....
"Lakini Mh si ulikuwemo kwenye hiyohiyo serikali ya Ccm tens kwa cheo cha Waziri mkuu..?? Ulishindwaje kuyatekeleza haya..."
[emoji2]
Tanzanian President Magufuli has cancelled a $7 billion standard gauge railway project because it was bloated with corruption by the previous government and Chinese contractors. The new project will be worked on between Tanzania and Turkey at almost a half the price.
Source: African Leadership Magazine
mtanuna nyie ambao wachina ndo rafiki zenuUKAWA najua mtanuna ila huo ndo ukweli
yaani kila cku ni stori tu na matangazo tu.....cjui watamaliza lin hawa watuWabongo kwa kudanganyika kirahisi!!!! Nafikiri wanaongoza duniani.Huyo magu anataka kiki za kipuuzi.Awadanganye hao,hao wadanganyika wa Lumumba. Yeye alikuwepo katika serikali iliyopita. Kwanini hakuupinga huo ufisadi?sio kwamba alikuwa haujui. Kama kweli yeye ni mpinga ufisadi, tunataka awawajibishe kisheria hao viongozi wa serikali iliyopita.Kama hawezi asituletee unafiki wake hapa,aupeleke unafiki huko lumumba kwa wenzie.
Ndio maana nakubaliana na kauli ya Mwakyembe...IQ yake ni ndogo sana huyu mshikaji. Ni mvivu wa kufikiri ndo maana anamlaumu JPM kuwa angezuia
It's yours IQ seems be so low. Thinking yourself. Nani serikali iliyopita? Nani alukuwa waziri wa ujenzi?hii hata ikipelekwa mahakamani itakuwa kesi rahisi sana.Au unasema kwamba my IQ seems too low kwa sababu wewe unafikiria muhusika na ufisadi hawezi kujifunga yeye mwenyewe????Ur IQ seems to be too low
Wabongo kwa kudanganyika kirahisi!!!! Nafikiri wanaongoza duniani.Huyo magu anataka kiki za kipuuzi.Awadanganye hao,hao wadanganyika wa Lumumba. Yeye alikuwepo katika serikali iliyopita. Kwanini hakuupinga huo ufisadi?sio kwamba alikuwa haujui. Kama kweli yeye ni mpinga ufisadi, tunataka awawajibishe kisheria hao viongozi wa serikali iliyopita.Kama hawezi asituletee unafiki wake hapa,aupeleke unafiki huko lumumba kwa wenzie.
Kule aliko kuwepo lowassa sasa,hakutumiki sera za ccm. Kunatumika sera za chadema.nikupe mfano mdogo.mchezaji wa mpira anaweza kuchezea simba asifanye vizuri kutokana na aina yake ya uchezaji.mchezaji huyohuyo akafanya vizuri sana kutokana na uchezaji wake kufanana na uchezaji wa wachezaji wa yanga. .Hivyo basi Lowassa atatumia sera za chadema sio za sera mbovu za ccm.ndomaana miaka 55 ya uhuru bado Tanzania ni nchi masikini sana kutokana na sera za ufisadi za ccm.Kama EL alivyo ulizwa na BBC....
"Lakini Mh si ulikuwemo kwenye hiyohiyo serikali ya Ccm tens kwa cheo cha Waziri mkuu..?? Ulishindwaje kuyatekeleza haya..."
[emoji2]
CHADEMA mna sera gani nzuri. Au za kuzungusha mikono ili mpate mabadirikoKule aliko kuwepo lowassa sasa,hakutumiki sera za ccm. Kunatumika sera za chadema.nikupe mfano mdogo.mchezaji wa mpira anaweza kuchezea simba asifanye vizuri kutokana na aina yake ya uchezaji.mchezaji huyohuyo akafanya vizuri sana kutokana na uchezaji wake kufanana na uchezaji wa wachezaji wa yanga. .Hivyo basi Lowassa atatumia sera za chadema sio za sera mbovu za ccm.ndomaana miaka 55 ya uhuru bado Tanzania ni nchi masikini sana kutokana na sera za ufisadi za ccm.
Yaaap hilo ndo jambo la maana sio unapiga mayoweeee wakati wabaya wako unawajua weka uchunguzi piga watu ndaniKama wahusika watapelekwa mahakamani na kufungwa itakuwa vizuru