OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nilijua tu kuna kitu amekishtukia! Kweli MWENYE ENZI MUNGU ametuletea rais kutoka katika UFALME WAKE. ..REMAIN BLESSED MY PRESIDENT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. ..Tanzanian President Magufuli has cancelled a $7 billion standard gauge railway project because it was bloated with corruption by the previous government and Chinese contractors. The new project will be worked on between Tanzania and Turkey at almost a half the price.
Source: African Leadership Magazine
Mkulu anafanya vizuri tatizo moja tu kuna watu anawajua kabisa na madhambi yao ila bado anawabeba
..Tanzanian President Magufuli has cancelled a $7 billion standard gauge railway project because it was bloated with corruption by the previous government...
Wabongo kwa kudanganyika kirahisi!!!! Nafikiri wanaongoza duniani.Huyo magu anataka kiki za kipuuzi.Awadanganye hao,hao wadanganyika wa Lumumba. Yeye alikuwepo katika serikali iliyopita. Kwanini hakuupinga huo ufisadi?sio kwamba alikuwa haujui. Kama kweli yeye ni mpinga ufisadi, tunataka awawajibishe kisheria hao viongozi wa serikali iliyopita.Kama hawezi asituletee unafiki wake hapa,aupeleke unafiki huko lumumba kwa wenzie.
Acha kuongea kisukuma mtandaoni. Andika kiswahili.Mtakoswa KICK
Walifanya hiyo corruption wako UKAWA?UKAWA najua mtanuna ila huo ndo ukweli
Mbona unawasi wasi, wezi wote wataisoma number mark my words. Waswahili walisema ''wakati wa kwenda ni mgeni.''Mkulu anafanya vizuri tatizo moja tu kuna watu anawajua kabisa na madhambi yao ila bado anawabeba
hiki ni kichaa, kwani ukawa ndo waliokuwa wameplan hiyo corruption na wachinaUKAWA najua mtanuna ila huo ndo ukweli
hand on nowlakini mbali na serikali iliyopita kuridhia contract na wachina, huyu raisi si ndiye aliyekuwa wazir wa miundombinu..
kwa manaa deal zote zilikuwa zinaenda sambamba na kupitia kwakwe...
iweje leo aje atafute kick kuwa mradi uligubikwa rushwa na serikali iliyopita ambayo kimsingi yeye alikuwa wazir wa miundombinu?
Tumia kichwa chako vizuri kulikua na Wizara ya uchukuzi, Waziri alianza Mwakyembe baadae akawa Marehemu Sitalakini mbali na serikali iliyopita kuridhia contract na wachina, huyu raisi si ndiye aliyekuwa wazir wa miundombinu..
Alikuwa part ya corrupt previous Government na hii inatia faraja anapoanza kudeal na waliokuwa wakiiba pamoja..