Tanzanian School offers free meals, exam results soar

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335

ReliefWeb » Document » Tanzania: School offers free meals, exam results soar
 
School nutrition is very important but it is often overlooked or perhaps there are other 'more important' priorities.
Brain can't function efficiently without 'food'.
This program should be replicated in other schools as well.
FYI: There is planning for a pilot program to provide snacks to students in some schools in Ilala district, I think it will start later this year. We will see what comes out of it in a few years.
 
Tukichunguza tunaweza kukuta kuwa tatizo hili la kukosa mlo kamili ni sababu kubwa ya kufeli kwa wanafunzi wetu. Program kama hizi zinabidi zifanywe na watanzania pia sio kusubiri misaada tu. Kuna watu Dar na Arusha ambao wanatumia laki 1 kwa siku kwa starehe zao, wngetoa sehemu ya pesa zao kwa ajili ya programu kama hizi za kulisha watoto mashuleni!
 

Starehe ni nini??? kutumia fedha ngapi ndio inakuwa starehe au ni umasikini tu???
Serikali ya Mwalimu nakumbuka ilikuwa na milo bure mashuleni. Kama ilivyo nchi za Ulaya na Marekani. Hii inamfanya mwanafunzi kuwa na umakini na shibe Darasani na kumsikiliza mwalimu vizuri.
Nakumbuka walipokatisha milo watoto walikuwa hawapati kifungua kinywa kwani wengi hutembea mwendo wa mbali na hawawezi pata lunch kwani nyumbani ni mbali au lunch hakuna hata akirudi nyumbani.

Kweli hili linahitaji uangalizi na hapa ndipo mtanzania angetakiwa kupigania fedha zinazopotea kwenye matundu harama kama, EPA, TWIN TOWER, BOGUS MINNING CONTRACTS, BANDARI, MALI ASILI , BAJETI YENYEWE WABUNGE LUKUKI NK.......
 
Kama serikali ya Tanzania iko serious na masuala ya Elimu ni vema ifanye haraka kutafuta sustainable solution/source ya kurudisha chakula katika shule za day za serikali. Katika hali ya kawaida hata kama mtoto amepata kifungua kinywa nyumbani but kwa umri wake anakua anahitaji body nutrients (in 4 groups of foods). Kwa kawaida after every 3 hours the stomach must be empty, ndiyo maana kwa familia zenye uwezo watoto kama wapo nyumbani they get at least a snack after the main food course ( a snack between breakfast at 10:00 am, lunch at 1:00 pm, a snack between lunch and dinner preferably at 4:00pm) hapo hujasahau liquids like fresh juice na fruits and vegetables in the main courses.

Kwa kuwa basi si familia zote zenye uwezo wa kuwapatia watoto vyakula hivi then serikali ione namna ambavyo angalao itawapatia mlo wa mchana watoto (wajitahidi kuwa na mboga na matunda) maana familia nyingi haziwapi watoto vyakula vya vitamins (body protective foods). Imagine mimi na umri wangu after 3 hours busy on the computer or other routine work najiskia uchomvu na njaa, je watoto ambao wanakua na food (especially energy intake) inahitajika sana kujenga mwili, brain, etc.

Nakwambia kwa mtindo huu hiyo hela hewa ya EPA ingekuwa na matokea mazuri kama wangewekeza kiasi fulani kwenye elimu (human capital/investment). Hapo ni bongela soo, hatuna wana mipango mizuri hata kidogo, au kama wapo basi politics ndiyo zinatawala and planners and economists are not properly utilised in this country, sorry to say this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…