Kichwa cha thread kinasema "Tanzanian son..." . Huyu si Tanzanian son kwa mujibu wa habari, kwa sababu whatever "Tanzanian son" is, huwezi kuwa Tanzanian son kama wewe si Tanzanian, na kwa mujibu wa habari jamaa alishaukana uraia wa Tanzania.
Labda mleta mada alikusudia kuandika "Tanzanian's son...". Big difference.
lakini si umeelewa?! deep down in him ni mbongo go west , go east
dUH! Mimi naamini wanaogawa urithi wetu madini na ardhi ndio wanaufanya uraia wa bongo kuwa nuksiJamaa aliamua kuukana uraia wa Bongo wenye nuksi
lakini si umeelewa?! deep down in him ni mbongo go west , go east
... Jamaa aliamua kuukana uraia wa Bongo wenye nuksi
... Hivyo nasi basi tutawakilishwa japo na mchezaji mwenye asili yetu kule Bondeni.
Hizi ni sheria na siasa za wazungu, huyu dogo ana damu ya Mtanzania ni mwana wa Tanzania period, akiamua kutembelea kwao huku watampokea kama mwana wao, masuala ya ataingia na visa ni sababu ya sheria walizoturithisha wazungu, na akili mbovu za viongozi wetu, watu wengi sio kwamba wanataka kuukana Utanzania ila ni vigumu kwa mtu mwenye nafasi ya uraia wa Magharibi kumlazimisha achague raia moja.= Kiranga Kama umesoma vizuri post yangu hapo juu utaona sijaelewa, na ninauliza / kukisia tu.
Mtu ambaye si raia wa Tanzania, zaidi ya hapo ambaye kashakana haki yake ya kuchukua uraia wa Tanzania, atakuwaje "Tanzanian son" ?
Mbona mnapenda kuwakumbatia sana watu waliowakana?
Doesn't one need to be Tanzanian in order to be Tanzanian anything?
This guy is a Dane of Tanzanian descent, I will give him that. He may be a son of a Tanzanian, but he is no "Tanzanian son". He may be "Tanzanian's son" but that does not make him Tanzanian therefore he cannot be "Tanzanian son".
Akitaka kuja bongo m-Deni huyu anakuja kwa visa kama Anna Bard.
Mimi simtambui kama "Tanzanian son", labda "Tanzanian's son". If you don't know the difference grab a book or something.
Patrick Jan Mtiliga (born 28 January 1981) is a Danish professional footballer, who plays for Spanish club Málaga CF in La Liga. He is a defender, who is most frequently used as a left fullback. He has played three games for the Denmark national football team
Hizi ni sheria na siasa za wazungu, huyu dogo ana damu ya Mtanzania ni mwana wa Tanzania period, akiamua kutembelea kwao huku watampokea kama mwana wao, masuala ya ataingia na visa ni sababu ya sheria walizoturithisha wazungu, na akili mbovu za viongozi wetu, watu wengi sio kwamba wanataka kuukana Utanzania ila ni vigumu kwa mtu mwenye nafasi ya uraia wa Magharibi kumlazimisha achague raia moja.