Tanzanian star moves

Ole

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2006
Posts
2,157
Reaction score
976
Tanzanian star moves to Angola



Tanzania midfielder Said Maulid
wants to eventually play in Europe



 
Tanzania midfielder Said Maulid has joined Angolan Premier League-side Bravo du Maquiz on a three-year contract. The 27-year-old....
Mhh...mafanikio mema
 
kama ana miaka 27, halafu amesaini mkataba wa miaka 3 sidhani kama ulaya ataiona, kwani wanapenda watoto wabichi na miaka 27 kizungu huyo anaitwa keshakomaa na ni mkubwa sana. Kitu kingine ni kuwa hiyo ruti ya kupitia Angola nadhani ni ndefu kwani Angola kwenyewe hawana wachezaji wengi sana ulaya hivyo hataonwa na hao wanunuzi toka ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…