Tanzanian traditional local foods

Umenikumbusha Singida. Hiki chakula nilikila kwa kulazimishwa tu, sikuwai kuyapenda mamumunya bora maboga kwa mbali.
Maboga yenyewe kwa sisi tuliozoea na kukulia ugali ni mtihani kabisa kutushawishi kuwa ndiyo lunch hiyo afu turidhike[emoji23] sijajua Singida wanaweza vipi[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…