Mwaka 2023 ukiwa umefikia ukingoni leo, napenda kuzielekeza shukrani zangu za dhati kwa wadau mbalimbali ambao michango yao kwa namna moja au nyingine ndiyo iliyouwezesha uzi huu kufikia ulipo;
1. Malchiah
2. Apeche Alolo
3. Kimbisa
4. Winnone
5. Mshamba_hachekwi
6. Mshana Jr
7. Mjinga mimi
8. My eyes
9. Palina
pamoja na wengine wote mliosoma, ku-comment, kushare na ku-like mchango wenu ulikuwa muhimu mno, Asanteni sana na tuukaribishe mwaka 2024 kwa shangwe la pamoja huku tukiendelea kutupia madikodiko ya kitanzania katika uzi wetu pendwa.