Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
-
- #1,401
Vyakula vya Kingoni ni vingi siwezi kuvi-post vyote ila nitakuletea baadhi tu:-Mimi chauroho mpenda kula hii thread nzuri kwangu.
Haya nifahamishe chakula cha asili cha Wangoni ni kipi? Nataka nijue kukipika Undava King