Tanzanian Wars!

Tanzanian Wars!

Mavita aliyoanzisha Mwalimu?

Are you kidding? Ukiona tu Tanzania ilikuwa involved basi ni Nyerere? Hebu basi angalia tu hizo za mwisho mbili ambazo Mwalimu alikuwa tayari katangulia mbele ya haki. Basi natilia shaka sana motive yako ya uzi huu. Kweli Mwalimu alianzisha vita vya Msumbiji?

Tanzania ilihusika kwa sababu marafiki waliomba msaada. Si kwa sababu Mwalimu kaanza vita.
 
Kuna haja ya kusoma upya historia ya nchi yetu na afrika kwa ujumla
 
Back
Top Bottom