Tanzanians come here we talk, what is this?

Sisi watanzania tunapenda sana kuoga ndiyo maana mafuriko kwetu ni kitu kizuri.

Tatizo lenu wakenya hamuogi na mnaogopa maji ndiyo maana mnaona ajabu.
 
Huwezi kuona ndio mwaka huu kwani Kenya mvua imenyesha ??? Angalia nyumba hizo Maji yamefika hadi kwa paa lakin nyumba bado imesimama sijui kibera ikija pata mafuriko ka hayo kama Yale mabati yenu yatasimama hivyo...hahaha
Nimekubali Kenya kuna shida lakini hii nayo inachekesha. I haven't seen something like this in Nairobi this year.View attachment 1096856
 
Huwezi kuona ndio mwaka huu kwani Kenya mvua imenyesha ??? Angalia nyumba hizo Maji yamefika hadi kwa paa lakin nyumba bado imesimama sijui kibera ikija pata mafuriko ka hayo kama Yale mabati yenu yatasimama hivyo...hahaha
Excuses as normal.
 
Tatizo ni mvua yenu ambayo bado tumeishikilia hatujazoea mvua kubwa kias hiki next time hatuta kaa na mvua yenu muda mrefu
 
Mwaka huu Nyang'au zinwacheka wabongo sana, sio gongo la konyagi, betri za ATCL, swimming pool za Dar, bagamoyo etc.😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…