Tanzanians come here we talk, what is this?

Yawezekana,hata mababu wametuletea mvua ya kipigo kutuamsha wa tz
 
Nimekubali Kenya kuna shida lakini hii nayo inachekesha. I haven't seen something like this in Nairobi this year.View attachment 1096856
The real meaning of a shithole country .

Shithole people leads to a shithole government which leads to shithole cities & towns which finally leads to a shithole nation .

This is Tanzania , again welcome to the shithole brothers & sisters .
 
hahahahahaha yaani floods ni changamoto sana punde mvua ziki nyesha hapa dsm hata huko nairobi msijifanye hamjui the issue of floods in town tazama hii picha ilikuwa pale riverside

tazama na huyu jamaa ako na suti ati anatembea kwa floods sijui alikuwa anakwenda idaya ya maji


what kind of this transport system in nairobi city center is it a indigenous trasnsport system or what

lastly but not list ....ati nyani huwa haoni nini vileeeee
 
Mvua ni neema jamani wenzetu uko sudani kukame mpaka basi,tutembee vifua mbele.
 
Bwahahahahahh Yan nimecheka kipuuz sana utafikir mazur ila Sasa wakute wanavoshangaa watu kubebwa na maguta jangwani... Hii ndo husemwa kwamba Mimi ni tajiri kuliko jirani lakini wote tunaishi kwenye makazi duni.
 
Bwahahahahahh Yan nimecheka kipuuz sana utafikir mazur ila Sasa wakute wanavoshangaa watu kubebwa na maguta jangwani... Hii ndo husemwa kwamba Mimi ni tajiri kuliko jirani lakini wote tunaishi kwenye makazi duni.
Hapo nimetuma chache tu ukiachia zile za lile eneo walilojenga flyover huwa linakuwaga bwawa kipindi cha mvua kali ....
 
Kenya ikinyesha Mvua kidogo then upite kwenye suburb za Kibera utaona MAVI ya binadamu ndo yana float kwa maji juu na unaweza usione Maji ila Human wastes tu
 
Hehehe tafuta picha nyingine because this is not 2019
 
RuangaRiRa haya nayo ulikosa kabisa. Hizo picha mbili upande wa kulia chini ni za Daresalaam. Acha ujuha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…