Hapa Kuna hadi Togo, Somalia, Uganda, Nigeria, Rwanda.. Yani kwa majirani wetu wote Tanzania pekee ndio hawapo... Nimeelewa kwa nini ATCL hubeba abiria wawili kutoka dar hadi Kampala.. Na abiria Hawa hukua Wananchi wa Uganda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app