Ndio anamaanisha,huyu bure kabisa..Kwahiyo ulitaka na watanzania wafe??? Au mimi sijaelewa point yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanasema kuna ndege ya moja kwa moja kutoka ethiopia kwenda zanzibar na DAR hivyo siyo busara kupanda ndege ya kuungaHapa Kuna hadi Togo, Somalia, Uganda, Nigeria, Rwanda.. Yani kwa majirani wetu wote Tanzania pekee ndio hawapo... Nimeelewa kwa nini ATCL hubeba abiria wawili kutoka dar hadi Kampala.. Na abiria Hawa hukua Wananchi wa UgandaView attachment 1042850View attachment 1042851View attachment 1042852
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wafe ila hakukua na mbongo Ata mmojaKwahiyo ulitaka na watanzania wafe??? Au mimi sijaelewa point yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopian airlines inakuja mara mbili kwa siku DarHapa Kuna hadi Togo, Somalia, Uganda, Nigeria, Rwanda.. Yani kwa majirani wetu wote Tanzania pekee ndio hawapo... Nimeelewa kwa nini ATCL hubeba abiria wawili kutoka dar hadi Kampala.. Na abiria Hawa hukua Wananchi wa UgandaView attachment 1042850View attachment 1042851View attachment 1042852
Sent using Jamii Forums mobile app
So what.... unataka kufanya donation ama kutoa free trips ili watu wasafiri ama ???....
Kuna mnigeria, mtogo, mjerumani etc so wamaanisha hakuna ndege ya Addis-Lagos??? Kuna hadi Mozambique Kuna mmoja na Kuna direct flights to maputoEthiopian airlines inakuja mara mbili kwa siku Dar
Saa kumi asubuhi B737
Saa saba mchaba B787/B767
kilimanjaro Daily na Airbus A350 ..yes you read correct A350
Zanzibar daily B787/A350
Sasa kwann wa Tz tupitie nairobi tena na ethiopian
Mada yako haina kichwa wala miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni ajali Buda Ata wewe utaeza Pata ajali ukufeSo what.... unataka kufanya donation ama kutoa free trips ili watu wasafiri ama ???....
Kusafiri nako ni fahari au sifa... Tunajua mna diaspora kubwa zaidi yetu na pengine mmetapakaa dunia nzima lakini kuutumia huu msiba tu ili uwa-mock waTz ni kukosa fikra japo akili unazo.. Ukikosa fikra bhasi tumia hata ubinadamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ujinga mmeanza conspiracy! Why should a Tanzanian fly to Dar, Kilimanjaro/Arusha or Zanzibar from Addis Ababa via Nairobi while there are daily direct flights to those destinations from Addis Ababa using dreamliner?Hapa Kuna hadi Togo, Somalia, Uganda, Nigeria, Rwanda.. Yani kwa majirani wetu wote Tanzania pekee ndio hawapo... Nimeelewa kwa nini ATCL hubeba abiria wawili kutoka dar hadi Kampala.. Na abiria Hawa hukua Wananchi wa UgandaView attachment 1042850View attachment 1042851View attachment 1042852
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mnaija yawezekana anatoka Nigeria kwenda Kenya. Sasa Mtanzania anayetaka kutoka hapa kwenda Kenya anatakiwa aende Ethiopia?Kuna mnigeria, mtogo, mjerumani etc so wamaanisha hakuna ndege ya Addis-Lagos??? Kuna hadi Mozambique Kuna mmoja na Kuna direct flights to maputo
Sent using Jamii Forums mobile app