Tanzanians have a longer life expectancy than Kenyans and Nigerians!

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074


Source: The Human Development Report 2016 by the UNDP.
Yaani tofauti ya Kenya na Tanzania in GNI per capita ni ndogo hivyo duuuh!
Wakenya mnaburuza mkia kwenye medium HDI mmeponea chupuchupu hahahaa!
 
Sielewi unachochekea chekea, mada kama hizi uwe unawatafsiria wale ndugu zako wa mada za Alshabaab na Kibera, maana hapa wanapita kimya hawajui kipi cha kushabikia.

Tumewashinda nyie kwenye viashirio vya HDI vikiwemo afya, elimu na kipato cha kila mmoja. Hata GNI ni miujiza kwetu kuwa hapo ukizingatia nchi yetu yenyewe nusu kame tupu. Nyie hapo nchi kubwa yenye rotuba kila shemu, madini mengi, halafu ni muungano wa nchi mbili zenye vivutio bora vya utalii na kila kitu, leo hii unakenua meno eti nusra muishinde Kenya.
 
Unavyobubujikwa povu looh
Tumewazidi life expectancy hiyo ndio mada hapa.....mengine anzisha mada yako.
Na mnavyoringaga ooh elimu yenu vs elimu yetu......kumbe ola mamburula tu hamna lolote. Kwenye vigezo vya human development tuko jino kwa jino!
Sasa hivi kitaeleweka.....watch it!
 
Kama hujasoma huwez shangilia wenzio waliosoma kwamba tumesoma,utakua chizi,kuhusu uchumi ni jambo la mtu kujikwamua ata kama nchi yenu Ni tajiri vipi kama huna kazi ya kukuingizia kipato wewe ni hovyo tu,cha muhimu ni watu kujitambua na kufanya kazi kwa bidii tofauti na hapo hakuna jipya
 
swadakta naona umeanza kuwa mstaarabu...sasa wafunze pia akina Cicero na Geza
 
Sasa life expectancy ni jambo la kushabikia? eti "tumewashinda kwa life expectancy"... do you know how you sound?..wewe ni small-minded sana...una sound kama mtoto akiringia mtoto mwenzake.....unataka kuishi miaka 100 sio? ishini miaka 100 basi sisi hatutaki kuishi miaka hiyo ambayo mtu mzima huwa anabadilika na kuwa mtoto mdogo...hana meno,..anafungwa napi etc..good luck
 
USIPANIK UNADHANI TZ HAIWEZI KUISHINDA KENYA?
 
Wewe hata sibishani nawe.
Fahamu tu kwamba life expectancy ina maana kubwa sana kwani huchangiwa na mambo mengi kwenye jamii kama lishe bora, huduma za afya, ulinzi na usalama, amani na kadhalika
 
tz ipi hiyo? usidhani sisi wapumbavu...tanzani ikaipita kenya basi hata India itaipita Marekani
TATIZO LENU WA KENYA MMEJAWA NA DHARAU NA KUJISIFU KULIKO PITILIZA HATA UK ILIKUWA SUPER POWER LAKINI LEO HII IKO WAPI? ACHENI KUJIPATIA SIFA ZA KIJINGA WAIT AND SEE...... GOD IS WITH US
 
TATIZO LENU WA KENYA MMEJAWA NA DHARAU NA KUJISIFU KULIKO PITILIZA HATA UK ILIKUWA SUPER POWER LAKINI LEO HII IKO WAPI? ACHENI KUJIPATIA SIFA ZA KIJINGA WAIT AND SEE...... GOD IS WITH US

Tunajisifu kwa ajili ya utenda kazi wetu na kujituma, tungekua kama nyie kwa nchi yetu ilivyo kavu hata Burundi wangetushinda. Mambo kama life expectancy kwanza at birth lazima Kenya isifanye vizuri maana kuna maeneo ukienda ndani ya nchi yetu ni kame na jangwa tupu. Japo tunawashinda kwenye cohorts zingine.

Leo hii na hiyo nchi yenu yenye amani na rouba kila sehemu na kila kitu mlifaa kuwa mumetuacha mbali, ilhali tofauti ni nukta tu, hamna kitu.
 
Hahahaa.....mngekuwa wachapakazi na watu wa kujituma mngekuwa hapo mlipo?
Hahahaahaaa.... Hicho ulichoandika hapo ni kichekesho cha mwaka!
Nyie ngozi nyeusi wa Kenya hohe hahe tu hamna lolote.... Uingereza kupitia colonial ties ndo inawaweka juu
 
Hahahaa.....mngekuwa wachapakazi na watu wa kujituma mngekuwa hapo mlipo?
Hahahaahaaa.... Hicho ulichoandika hapo ni kichekesho cha mwaka!
Nyie ngozi nyeusi wa Kenya hohe hahe tu hamna lolote.... Uingereza kupitia colonial ties ndo inawaweka juu
nyie mko wapi...mpumbavu mkubwa wee...nchi kavu imeendelea kuliko nchi yenye Diamond mineral, na mvua tele...wavivu kupindukia
 
Wewe hata sibishani nawe.
Fahamu tu kwamba life expectancy ina maana kubwa sana kwani huchangiwa na mambo mengi kwenye jamii kama lishe bora, huduma za afya, ulinzi na usalama, amani na kadhalika
ndio inachangiwa na mabo hayo sijakataa ila hamna la kushabikia hapo...jipeni sifa wakati mnajenga reli...hilo ni jambo la msingi...sio kutuletea upuuzi huu apa...
 
Yes Tanzania inaweza kushinda Kenya lakini mtasubiri 100yrs.hope umebambika?!story ya Tz kutupita tumezoea tangu miaka ya kenyatt sr na nyerere hatutishiki
 
Hata HDI mmezidiwa na Congo na Zambia na Bangladesh.. Hehehe. Kenya is Just as poor as Tz. Tena bora sisi tupo na standards.. The gap btn poor and rich is small and is narrowing day to day.
 
Nikisomaga comments kama hizi ndio nathibitisha uwezo wenu mdogo wa kudadavua mambo. Ndio maana mnatembea na mbolea kwenye makalio yenu na Magovi.
Wewe unafikiri hii amani ilikuja naturally? Hayo pia ni mafanikio. Nyie wakenya ni Vila.za sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…