Tanzanians in Diaspora feeling global financial crunch

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380

Source: African Press Agency
 
Invisible,

Jamaa wako sahihi, hii credit crunch, inawafanya watu wapoteze kazi lakini hata wale walioko makazini, vitu kama overtime na bonuses zinakuwa haba, hivyo si rahisi kuwa na ziada na pia sio rahisi kukumbuka watu wengine. Victim wa kwanza kwenye hili ni ndugu na marafiki walioko TZ, watu tayari tumeanza kufunga mikanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…