Tanzanians Show us your Estates

Tanzanians Show us your Estates

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
Took this with my phone. Show us where you guys live.
FB_IMG_1558928003068.jpeg
FB_IMG_1558928035513.jpeg
FB_IMG_1558928039154.jpeg
FB_IMG_1558928045100.jpeg
FB_IMG_1558928054849.jpeg
FB_IMG_1558928058475.jpeg
 
Kenya won the roads battle by a huge Margin.. Tanzanians please redeem yourselves with this although it's quite tricky.
 
Watanzania tufanyeni kazi, maswala ya kuingia google na fb kutafuta nyumba nzuri ili tuwaonyeshe awa wakenya na sisi tupo vizuri ni ujinga....

Tufanye kazi tukawasaidie wakenya wanaokufa na njaa, sisi nchi yetu imebarikiwa na hilo tunalijuwa na hakuna haja ya kuwaonyesha wakenya kama tupo vizuri... Waacheni watapetape
 
Mdanganyika wakati amefinywa sehemu nyeti analia namna hii sasa
 
TZ hakuna mfumo wa estates, Kenya kuna estates kwa sababu Muzungu English alianzisha, TZ haikuwa english colony, na estate ni english system.
France au Switzerland, Japan au hata China hakuna estate!

Kwanza estates ni Apartheid, Muzungu alianzisha estates kwa ajili ya Muzungu na Indians, Wakenya weusi waliwekewa slums Kibera, baada ya Uhuru ndo Waafrika wadosi wakahamia kwenye estates.

Lkn lengo lake lilikuwa ni apartheid!
 
Hili la nyumba acha tu maana utawatesa sana hawa, yaani ile kwamba watu wao wa uchumi wa kiwango cha kati ni wachache sana hivyo uwekezaji kwenye nyumba nzuri nzuri ni mdogo sana.
 
TZ hakuna mfumo wa estates, Kenya kuna estates kwa sababu Muzungu English alianzisha

Hiyo kweli, mpo ovyo sana, nyumba zimetapakaa bila mpango wowote, kwa Kenya tumewekeza sana kwenye mpangilio wa nyumba, kwa mfano hapa ninakoishi ipo sheria baina yetu aina ya nyumba zinazofaa kujengwa na pia hairuhusiwi kujenga nyumba zaidi ya orofa moja.
 
Mlichokifanya ni kuendeleza tu apartheid, sasa hivi weusi matajiri wamechukuwa nafasi ya Muzungu, baada ya Muzungu kuhama estates.

Lkn estates Nairobi siyo black Kenya idea!
 
Hii naona ni battle ya watu individually sio kitaifa sababu it doesn't matter uko kenya au Tz kama huna mafanikio as an individual person haikusaidii kitu,hata kama nchi yako iwe na mahekalu kila kosa if you dont own one,haikusaidii kitu,hiyo energy ya kubattle bora tuiweke kwenye kazi tu.
 
[emoji3][emoji3]. Wewe unaishi wapi hapo..
Hizo nyumba hazina tofauti na zile za NHC.
mimi napenda sana kuangalia Africa magic east. Kwa kweli kuna watu Kenya wanaishi kwa tabu. Full suit. Wakati wa kiangazi inakuwaje
 
Back
Top Bottom