Watanzania tufanyeni kazi, maswala ya kuingia google na fb kutafuta nyumba nzuri ili tuwaonyeshe awa wakenya na sisi tupo vizuri ni ujinga....
Tufanye kazi tukawasaidie wakenya wanaokufa na njaa, sisi nchi yetu imebarikiwa na hilo tunalijuwa na hakuna haja ya kuwaonyesha wakenya kama tupo vizuri... Waacheni watapetape
Ungeanza na slums za Kenya kwanza!Mdanganyika wakati amefinywa sehemu nyeti analia namna hii sasa
Ungeanza na slums za Kenya kwanza!
Hii ni 10 - 0
TZ hakuna mfumo wa estates, Kenya kuna estates kwa sababu Muzungu English alianzisha
Hiyo kweli, mpo ovyo sana, nyumba zimetapakaa bila mpango wowote, kwa Kenya tumewekeza sana kwenye mpangilio wa nyumba, kwa mfano hapa ninakoishi ipo sheria baina yetu aina ya nyumba zinazofaa kujengwa na pia hairuhusiwi kujenga nyumba zaidi ya orofa moja.
Mdanganyika mwingine amefinywa sehemu nyeti…...Nilipo tembelea kibera na kukuta mav1 yametapakaa kila kona; niliwadharau sana wakenya.
Sijui mdanganyika ni nani lakini hii ni moja ya documentaries zilizo nyingi.Mdanganyika mwingine amefinya sehemu nyeti…...
Sijui mdanganyika ni nani lakini hii ni moja ya documentaries zilizo nyingi.