Nataka tu wanionyeshe barabara zao because wanaongea ni kama wako na barabara za USADar es salaam yenyewe ni shamba so don't expect them here. In fact Dar haiwezi ishinda Kisumu in terms of roads. joto la jiwe [emoji23][emoji23]
Hii thread wanapita kimya kimya hueziwaonaTanzania ile moja nayoijua au nyingine, leo kwanza pale Jangwani hapapitiki jamaa kwao kamvua kakinyesha kadogo wanafunga barabara kubwa ya kwenda mikoani, hili tatizo limekua siku nyingi hawalitatui kero tu na kuja kutunisha misuli dhidi ya Kenya. Watanzania mnafaa kuiga Wakenya kwa hili la barabara, kwanza hapo Jangwani wekeni daraja (overpass) itoke pale Usalama na kushukia Fire, kama hii hapaa tuliyojenga Nairobi
Hebu ona hii video wanavyoteseka