Tanzanians, show us your roads

One of the best roads in the country.. Hii barabara nimeendesha kuanzia pale Bunda mpaka Rorya sijaona shimo wala kiraka..

I'm not sure hii barabara ni mpya au lah ila ningependa kumjua Mkandarasi aliyejenga hii..
Barabara ya mkapa hiyo!!!!!! Ina miaka
 
Hakuna litu cha kuchanganya mtu hapo, I thought umeiba ya UG because they have exactly like that.
Arusha hio naona umeanza kuchanganyikiwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hakuna litu cha kuchanganya mtu hapo, I thought umeiba ya UG because they have exactly like that.

Kumbe u thought vumilia sana dawa itaingia tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…