Tanzanians, show us your roads

Ichoboy let's picha ya hiyo 12 lanes nataka kutoka online, hata kama ni render leta tu.
 
Nafurahi tu kuwa moyoni umekubali yaan hapa naona unatamani huu Uzi watu wasitume tena mapicha ili soo liishe kimyakimya hahahaha
Kichapo mnapata hapa si ya karne hii, si unaona wenzenyu wametoroka wote isipokuwe wewe na ichoboy. Wewe unapiga tu domo bila mapicha. Anyway, naezapata supu ya albino?
 
Bana kwanza leteni maparachichi yetu...mnajenga mabarabara mbona nyie ni wezi wa parachichi zetu?
 
A rural road in Kenya. Kakamega, western Kenya. I toured this area and the roads are good. Many more under construction.

There is a road from Kisumu to Kitale. 16 lanes in Kakamega town. 18 lanes in Kisumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…